Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 1,088
Hii mbona kama chai:-
1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000
2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka umefulia, kuna uwezekano mkubwa simu haikuwa na hela kabisa.
3. Wote mko Mwanza
Kuna uwezekano mdogo sana hivyo vitu vitatu kutokea kwa pamoja. Too many coincidences to be true.