Muamala wanipatia mke

Muamala wanipatia mke

Hii mbona kama chai:-

1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000

2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka umefulia, kuna uwezekano mkubwa simu haikuwa na hela kabisa.

3. Wote mko Mwanza

Kuna uwezekano mdogo sana hivyo vitu vitatu kutokea kwa pamoja. Too many coincidences to be true.
 
Hongera mleta Uzi kwa kupata mke..Mungu hukutanisha watu kwa njia za ajabu sana
 
Chai-Bora-Supreme.jpg
 
Hii mbona kama chai:-

1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000

2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka umefulia, kuna uwezekano mkubwa simu haikuwa na hela kabisa.

3. Wote mko Mwanza

Kuna uwezekano mdogo sana hivyo vitu vitatu kutokea kwa pamoja. Too many coincidences to be true.
Akijibu nitag
 
Uyo alishakupenda tangu mwanzo.

Na namba yako Alikua nayo,

Ilitafutwa gia TU ya kuanzisha mawasliano na wewe.
 
Hii mbona kama chai:-

1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000

2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka umefulia, kuna uwezekano mkubwa simu haikuwa na hela kabisa.

3. Wote mko Mwanza

Kuna uwezekano mdogo sana hivyo vitu vitatu kutokea kwa pamoja. Too many coincidences to be true.
Kama sio chai,
Basi Uyo mwanamke alishampenda jamaa, namba yake Alikua nayo.
Akatumia gia iyo kumuingia jamaa.

Kuna Uzi mmoja jamaa humu aliwai simulia kisa Kama icho (nmeusahau jina)

alipata namba ya binti kutoka kwa mtu aliemtahadharisha asimtaje jina.

Kwasababu ya kuogopa ataulizwa namba yangu umepata wapi.

ila yeye alituma 50k akijifanya kakosea namba maksudi.

Tangu Hapo laini iyo haikupatikana tena,
Alipofatilia mtandaoni huduma kwa wateja akaambiwa pesa aliyotuma mbona ilitolewa siku Iyo iyo[emoji4]

Jibu lililokuja kichwani ni bintu alivunja kabisa laini ya Simu baada ya kutoa muamala[emoji23]
 
Niliwahi kupokea muamala kutoka NMB saa mbili asubuhi,nikasubir simu asubuhi Ile sikupata,mwenye muamala kaja kupiga simu saa kumi na moja jioni,kakuta nimeshasolve matatizo yangu yoote.
Ha ha ha ha.....maana ake hukumrudishia pesa yake?[emoji848]
 
Hongera mkuu..!

Ila samahani, makato ya kutuma 150K yote, hicho kiasi ulikuwa nacho kwenye simu.? Na ni ulikuwa mtandao unaofanana ama tofauti.?
We Unataka Kumuumba Mwenzio? Wote tulishakubali uongo wake
 
mwanza hakuna bata aisee ingekuwa dasilama kila mtu anajua namba ya wakala ya kutolea.

hilo jiji inabidi libadilishe liwe wilaya tu.ukarimu umezidi
 
Unawezakupata muendelezo wa riwaya hii kupitia group hili la WhatsApp bure kabisa...

Au tuma ujumbe kwenye namba hii ili iwe tukuunge... +255 655 500 516
 
Back
Top Bottom