Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 1,088
Hadithi ya kufikirika!😄Sasa hela ya kuendesha mapenzi ukapata wapi?
Akijibu hii nitag brother [emoji2]Hongera mkuu..!
Ila samahani, makato ya kutuma 150K yote, hicho kiasi ulikuwa nacho kwenye simu.? Na ni ulikuwa mtandao unaofanana ama tofauti.?
Akijibu nitagHii mbona kama chai:-
1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000
2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka umefulia, kuna uwezekano mkubwa simu haikuwa na hela kabisa.
3. Wote mko Mwanza
Kuna uwezekano mdogo sana hivyo vitu vitatu kutokea kwa pamoja. Too many coincidences to be true.
Mie ni mdada mpendwa..!Akijibu hii nitag brother [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nijeHongera sana [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] mwingine aje nae akosee kwangu sasa [emoji23][emoji28]
Kama sio chai,Hii mbona kama chai:-
1. Wakati una njaa sana ukapokea muamala wa 150,000. Pamoja na njaa yako kali ukarudisha pesa yote. Katika hali ya kawaida ungeomba hela ya kula tu, hasa ukizingatia alishakuomba urudishe angalau 100,000
2. Kurudisha pesa yote 150,000 bila gharama za makato. Kumbuka umefulia, kuna uwezekano mkubwa simu haikuwa na hela kabisa.
3. Wote mko Mwanza
Kuna uwezekano mdogo sana hivyo vitu vitatu kutokea kwa pamoja. Too many coincidences to be true.
Ha ha ha ha.....maana ake hukumrudishia pesa yake?[emoji848]Niliwahi kupokea muamala kutoka NMB saa mbili asubuhi,nikasubir simu asubuhi Ile sikupata,mwenye muamala kaja kupiga simu saa kumi na moja jioni,kakuta nimeshasolve matatizo yangu yoote.
We Unataka Kumuumba Mwenzio? Wote tulishakubali uongo wakeHongera mkuu..!
Ila samahani, makato ya kutuma 150K yote, hicho kiasi ulikuwa nacho kwenye simu.? Na ni ulikuwa mtandao unaofanana ama tofauti.?
Uongo dhambi sikurudisha...naye alinipigia Mara mbili tu hakupiga tena.. Mungu ambariki sanaHa ha ha ha.....maana ake hukumrudishia pesa yake?[emoji848]