Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo.
Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata suport kutoka kwa matajiri wakubwa kama AIPAC lakini kwa maajabu makubwa pamoja na udhaifu huo anaongoza kwa kura na hali ikiendelea hivyo kijana huyo kutoka Uganda ataukwaa umeya wa jiji kubwa marekani na duniani.