Af huyu kijana alisha wahi kuishi Tanzania [emoji1241] na alizaa na dada moja wa kitanzania yaani kwa lugha nyingine huyu mayor mtalajiwa wa Newyork ni mtanzania tu............Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo.
Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata suport kutoka kwa matajiri wakubwa kama AIPAC lakini kwa maajabu makubwa pamoja na udhaifu huo anaongoza kwa kura na hali ikiendelea hivyo kijana huyo kutoka Uganda ataukwaa umeya wa jiji kubwa marekani na duniani.
Wenzetu wapo mbali katika democracy ndo maana hayo mambo yanatokea .Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo.
Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata suport kutoka kwa matajiri wakubwa kama AIPAC lakini kwa maajabu makubwa pamoja na udhaifu huo anaongoza kwa kura na hali ikiendelea hivyo kijana huyo kutoka Uganda ataukwaa umeya wa jiji kubwa marekani na duniani.
Hapo hizo simu kama ni za android basi zitakuwa zinatumia google account moja ndio maana kuna huo muingiliano wa namba za simu.Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Ni kweli hili linawezekana dunia ya kwanza tuWenzetu wapo mbali katika democracy ndo maana hayo mambo yanatokea .
Baba yake ni profesa wa makerere hana pesa kivipi mkuu?Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo.
Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata suport kutoka kwa matajiri wakubwa kama AIPAC lakini kwa maajabu makubwa pamoja na udhaifu huo anaongoza kwa kura na hali ikiendelea hivyo kijana huyo kutoka Uganda ataukwaa umeya wa jiji kubwa marekani na duniani.
Samahani we jamaa ni IT bila shaka....Hapo hizo simu kama ni za android basi zitakuwa zinatumia google account moja ndio maana kuna huo muingiliano wa namba za simu.
Pesa za kawaida yule mpinzani wake anasapotiwa na matajiri wa marekani ,wana influence sana kiasi kwamba wanaamua nani awe kiongozi nani asipate, wakiwa hawakutaki wanamwaga mzigo kwa mpinzani wako,Baba yake ni profesa wa makerere hana pesa kivipi mkuu?
Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Huku ndo kwanza watia nia ubunge na udiwani wanashindana kupita Kila kata wakiwahonga mabalozi! Kama huna hela hutoboi. Uzuri ni ccm wanakulana wao kwa waoWenzetu wapo mbali katika democracy ndo maana hayo mambo yanatokea .