- Jina: Kaid Farhan al-Qudi,
- Baba wa watoto 11
- Dini: Muislamu
- Alitekwa October 7 mwaka jana
- Uraia: Israel
- Asili:Muarabu
Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari yalilojaa magaidi wa hamas, mabomu ya kutegwa, n.k. haikuishia hapo ilibidi waingie kwenye mahandaki, jambo liilohatarisha maisha yao zaidi maradufu.
ujasiri, upendo na uzalendo
Picha ya shaft iliyochimbwa kuingia kwenye handaki ili kumuokoa Farhan
Ni furaha isiyo na kifani, wanafamilia wa Kaid Farhan al-Qudi wanakimbia kwenda kumjulia hali kumsalimu baada ya kupewa taarifa kafika hospitalini.