Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Umejuaje hatafuti pesa??Ww jamaa bila shaka waarabu na waisilam walisha kufukua tope na ndio maana kila siku ni kuanzisha nyuzi za kipumbavu tu badala ya kutafuta hela.
Ulivyo mpumbavu unadhani matamanio yako ndo matamanio ya kila mtu,ya kuwa ww kama unatamani kwenda kuishi Marekani basi na wengine wana ndoto za hivyo hivyo?
Halafu yeye anaongelea wingi, ukweli ni kwamba kuna wachache kama wewe ambao mnatamani kwenda kuishi Afghanistan, Iran au hato Korea kwa Kiduku.