Ataiacha kivipi wakati Vizazi vyake vipo hapo?Ardhi hii huyo Marekani kaikuta na ataicha.
Kubwa
Hahaha..Hata hivyo Marekani wawe makini, haya mazombi sio ya kuruhusiwa kuja kuzaliana kwa nchi yako, sio muda mrefu na hao Marekani watajikuta kwenye hii kero ya watu kunyanyua makalio katikati mwa barabara kama wanavyofanya kule Uingereza....
Hawaogopi kuwa Allah anaweza kuwapelekea Tetemeko la Ardhi kama kule Turkey na Afghanistan na leo Taiwan?Hahaha..
Kuna watu baadhi ya nchi wameshaanza kushtuka...
View: https://twitter.com/AzzatAlsaalem/status/1754867942586487291?t=NScRkNUUJ-2FIA9rDa9sOA&s=19
hao apple ndio wanaopenda pesa zetu...kwanini hawazifungii tu kwenye warehouses zao ili watumie na watoto waoKuna viwatu vinaponda Marekani halafu ndio vya kwanza kupenda iPhones za wamarekani.
Marekani ni kiranja wa dunia whether you like it or not.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app