Muarobaini wa kuitibu Manchester United

Muarobaini wa kuitibu Manchester United

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
1) De Gea[emoji736] (Remero)[emoji736]

2) Wan Bisaka[emoji736] (Dalot)

3) Shaw[emoji736] ([emoji777])

4) Maguire[emoji736] ([emoji777])

5) Lindalof[emoji736] ([emoji777])

6) Mctomy[emoji736] ([emoji777])

7) James[emoji736] ([emoji777])

8) Pogba [emoji736] ([emoji777])

9) Greenwood[emoji736] ([emoji777])

10) [emoji777] ([emoji777])

11) Martial [emoji736] (Rashford)[emoji736]

Ningekua mimi Ndo Boss Wa Man Utd Ningefanya Mambo Yafuatayo Msimu Huu.

1) Ningemuita Kocha Wangu Ole Gunner Nimpe Pongezi Kwa Kazi Mzuri Aliyoifanya Tangu Awe Kocha Wa Man Utd (ameweza kuijenga timu ambayo 80% ni Vijana Chini ya Miaka 23)

2) Kipindi Hiki Ambacho Anafanya Vibaya na Vyombo vya Habari Vinaeneza Taarifa za Kutimuliwa Kwake Mmi Ningempa Mkataba Mwingine Mpya wa Miaka Mitatu (hii ingesaidia kumuondolea presha na akili yake kurudi kama zamani)

3) Ningempa Kitita Cha £350m ili Asajili Wachezaji Anaowataka Yeye Ili Azibe Sehemu zake ambazo zina mapungufu

4) Ningemuambia Ajitahidi Timu Isishuke Chini ya Top 6 Ndani ya Miaka 3 Mfululizo (hii itasaidia yeye kutokua na presha pamoja na kupewa kitita kikubwa cha pesa

Kocha Kitu Ambacho Kinamuumiza Mpaka Sasa Mpaka Anapata Matokeo Mabaya ni Kuwa na Kikosi Kidogo

Yani 90% Kila Namba Inategemea Mchezaji Mmoja Tu.. Hii Husababisha Hata Akiumia Mchezaji Anaekuja Kuziba Nafasi Anakua Sio Muhusika

Mfano Anaweza kuumia Wan Bisaka Namba yake ikazibwa na Young [emoji777]

Anaweza kuumia Mctomy namba yake ikazibwa na Fred[emoji777]

HILO NDO TATIZO LA MAN UTD NA SIO KOCHA naombeni mawazo yenu juu ya hili
 
Hilo linaweza kufanyika but other factor should remain constant eg mauzo ya jezu, timu kuingiza mpunga , na kuendelea kumantain Ile legacy ya kuwa ni timu inayoingiza mapato mengi zaid duniani,
Mpak sasa wadhamini washaanza kuota mbawa wanaangalia kupeleka madili kwenye timu zinazofanya vizur....
Unachotaka kifanyike ni bonge moja la gambling , unaweza ukafanya hvyo na timu ikahandle kushuka Kwa mda mfupi zen ikarud kwenye top level, habar gan kama mambo yakienda ndivyo sivyo..??, unamuamin Ole Kwa kias gan mpak unasacrifice vile?? Mambo yakienda isivyo unazika club na ni ngumu mno kuitoa matopen kuurudia juu inaweza ikakugharimu miaka Zaid ya 20, na kumbuka pia Ole ana sifa moja tuu, kushusha timu daraja .....
 
Mkuu Ole alibeba ubingwa na timu ya nchini kwao Norway kama kumbukumbu zangu hazijakosea sasa hii paragraph yako ya mwisho naitilia shaka kidogo
Hilo linaweza kufanyika but other factor should remain constant eg mauzo ya jezu, timu kuingiza mpunga , na kuendelea kumantain Ile legacy ya kuwa ni timu inayoingiza mapato mengi zaid duniani,
Mpak sasa wadhamini washaanza kuota mbawa wanaangalia kupeleka madili kwenye timu zinazofanya vizur....
Unachotaka kifanyike ni bonge moja la gambling , unaweza ukafanya hvyo na timu ikahandle kushuka Kwa mda mfupi zen ikarud kwenye top level, habar gan kama mambo yakienda ndivyo sivyo..??, unamuamin Ole Kwa kias gan mpak unasacrifice vile?? Mambo yakienda isivyo unazika club na ni ngumu mno kuitoa matopen kuurudia juu inaweza ikakugharimu miaka Zaid ya 20, na kumbuka pia Ole ana sifa moja tuu, kushusha timu daraja .....
 
Aisee, naona man u inausajili wa wachezaji 15 tu pale. Huwezi watetea hapa wakati wanakikosi karibu cha wachezaji 30.
 
Unasema namba hazina wachezaji wawili wawili wakati yeye ndio kawauza Wakina Herera, Valencia na felain ambao walikuwa wana namba ...

Huyo ndio anawapiga bench wakina Matic ambae ana uwezo mkubwa kumshinda Huyo Fred .. Huyo kocha afukuzwe Mara moja ... Manchester sio timu ya kushika nafasi ya sita misimu mitatu mfululizo sio Kagera sugar hiyo.
 
1) De Gea[emoji736] (Remero)[emoji736]

2) Wan Bisaka[emoji736] (Dalot)

3) Shaw[emoji736] ([emoji777])

4) Maguire[emoji736] ([emoji777])

5) Lindalof[emoji736] ([emoji777])

6) Mctomy[emoji736] ([emoji777])

7) James[emoji736] ([emoji777])

8) Pogba [emoji736] ([emoji777])

9) Greenwood[emoji736] ([emoji777])

10) [emoji777] ([emoji777])

11) Martial [emoji736] (Rashford)[emoji736]

Ningekua mimi Ndo Boss Wa Man Utd Ningefanya Mambo Yafuatayo Msimu Huu.

1) Ningemuita Kocha Wangu Ole Gunner Nimpe Pongezi Kwa Kazi Mzuri Aliyoifanya Tangu Awe Kocha Wa Man Utd (ameweza kuijenga timu ambayo 80% ni Vijana Chini ya Miaka 23)

2) Kipindi Hiki Ambacho Anafanya Vibaya na Vyombo vya Habari Vinaeneza Taarifa za Kutimuliwa Kwake Mmi Ningempa Mkataba Mwingine Mpya wa Miaka Mitatu (hii ingesaidia kumuondolea presha na akili yake kurudi kama zamani)

3) Ningempa Kitita Cha £350m ili Asajili Wachezaji Anaowataka Yeye Ili Azibe Sehemu zake ambazo zina mapungufu

4) Ningemuambia Ajitahidi Timu Isishuke Chini ya Top 6 Ndani ya Miaka 3 Mfululizo (hii itasaidia yeye kutokua na presha pamoja na kupewa kitita kikubwa cha pesa

Kocha Kitu Ambacho Kinamuumiza Mpaka Sasa Mpaka Anapata Matokeo Mabaya ni Kuwa na Kikosi Kidogo

Yani 90% Kila Namba Inategemea Mchezaji Mmoja Tu.. Hii Husababisha Hata Akiumia Mchezaji Anaekuja Kuziba Nafasi Anakua Sio Muhusika

Mfano Anaweza kuumia Wan Bisaka Namba yake ikazibwa na Young [emoji777]

Anaweza kuumia Mctomy namba yake ikazibwa na Fred[emoji777]

HILO NDO TATIZO LA MAN UTD NA SIO KOCHA naombeni mawazo yenu juu ya hili
anza kutafuta miarobaini ya timu za nyumbani kwanza hiyo yunaited waachie Mabeberu
 
OGS amekuwa akisisitiza kuwa kikosi chake kimekamilika na kinaweza kushindana hivyo sioni uhalisia wa kumwongezea wachezaji wote hao. Pia wamiliki na management ya United lengo lao kubwa si maendeleo ya uwanjani bali mafanikio ya kibiashara. Hivyo sahau kuwa kuna wakati Woodwork atatoa £300+ kwenye dirisha moja la usajili. Wanachoweza fanya ni kununua mchezaji mmoja mmoja hapa na pale ili kuwapa hope wadau.
 
Man U wanahitaji kocha kama Guardiola au Klopp na sio hawa wa kuokoteza ambao hawana uzoefu wa kufundisha klabu kubwa kama Man U na ambao hata wakipewa timu ndogo tu wanaishusha daraja.

Kwa hali hii Man U ubingwa wa EPL watasubiri sana, watakuwa tu kama Liverpool.
 
Unasema namba hazina wachezaji wawili wawili wakati yeye ndio kawauza Wakina Herera, Valencia na felain ambao walikuwa wana namba ...

Huyo ndio anawapiga bench wakina Matic ambae ana uwezo mkubwa kumshinda Huyo Fred .. Huyo kocha afukuzwe Mara moja ... Manchester sio timu ya kushika nafasi ya sita misimu mitatu mfululizo sio Kagera sugar hiyo.
Nyie Yanga tangu mumtimue Zahera mnataka kila timu ifukuze kocha wake 😆😆😆😆😆😆
 
Umeugusa moyo wangu mkuu huyo Ed Woodward ni kirusi ndani ya timu yetu namchukia mno huyo kenge
OGS amekuwa akisisitiza kuwa kikosi chake kimekamilika na kinaweza kushindana hivyo sioni uhalisia wa kumwongezea wachezaji wote hao. Pia wamiliki na management ya United lengo lao kubwa si maendeleo ya uwanjani bali mafanikio ya kibiashara. Hivyo sahau kuwa kuna wakati Woodwork atatoa £300+ kwenye dirisha moja la usajili. Wanachoweza fanya ni kununua mchezaji mmoja mmoja hapa na pale ili kuwapa hope wadau.
 
Mi naona timu ufanye usajili Wa kieleweka timu kubwa isajili wachezaji wakubwa wenye majina sio unajaza vifaranga hakuna wanaume wenye fikra zilizo komaa.
 
Sijaona tija ya timua- timua hadi sasa.Nashauri abaki tu muhimu ajengewe mazingira rafiki
Unasema namba hazina wachezaji wawili wawili wakati yeye ndio kawauza Wakina Herera, Valencia na felain ambao walikuwa wana namba ...

Huyo ndio anawapiga bench wakina Matic ambae ana uwezo mkubwa kumshinda Huyo Fred .. Huyo kocha afukuzwe Mara moja ... Manchester sio timu ya kushika nafasi ya sita misimu mitatu mfululizo sio Kagera sugar hiyo.
 
Hivi Luis Van Gaal na Jose Mourinho wako level sawa na huyo Guardiola ?

Back
Top Bottom