Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
1) De Gea[emoji736] (Remero)[emoji736]
2) Wan Bisaka[emoji736] (Dalot)
3) Shaw[emoji736] ([emoji777])
4) Maguire[emoji736] ([emoji777])
5) Lindalof[emoji736] ([emoji777])
6) Mctomy[emoji736] ([emoji777])
7) James[emoji736] ([emoji777])
8) Pogba [emoji736] ([emoji777])
9) Greenwood[emoji736] ([emoji777])
10) [emoji777] ([emoji777])
11) Martial [emoji736] (Rashford)[emoji736]
Ningekua mimi Ndo Boss Wa Man Utd Ningefanya Mambo Yafuatayo Msimu Huu.
1) Ningemuita Kocha Wangu Ole Gunner Nimpe Pongezi Kwa Kazi Mzuri Aliyoifanya Tangu Awe Kocha Wa Man Utd (ameweza kuijenga timu ambayo 80% ni Vijana Chini ya Miaka 23)
2) Kipindi Hiki Ambacho Anafanya Vibaya na Vyombo vya Habari Vinaeneza Taarifa za Kutimuliwa Kwake Mmi Ningempa Mkataba Mwingine Mpya wa Miaka Mitatu (hii ingesaidia kumuondolea presha na akili yake kurudi kama zamani)
3) Ningempa Kitita Cha £350m ili Asajili Wachezaji Anaowataka Yeye Ili Azibe Sehemu zake ambazo zina mapungufu
4) Ningemuambia Ajitahidi Timu Isishuke Chini ya Top 6 Ndani ya Miaka 3 Mfululizo (hii itasaidia yeye kutokua na presha pamoja na kupewa kitita kikubwa cha pesa
Kocha Kitu Ambacho Kinamuumiza Mpaka Sasa Mpaka Anapata Matokeo Mabaya ni Kuwa na Kikosi Kidogo
Yani 90% Kila Namba Inategemea Mchezaji Mmoja Tu.. Hii Husababisha Hata Akiumia Mchezaji Anaekuja Kuziba Nafasi Anakua Sio Muhusika
Mfano Anaweza kuumia Wan Bisaka Namba yake ikazibwa na Young [emoji777]
Anaweza kuumia Mctomy namba yake ikazibwa na Fred[emoji777]
HILO NDO TATIZO LA MAN UTD NA SIO KOCHA naombeni mawazo yenu juu ya hili