Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

Mr Uharo si mlituambia Yemen nchi masikini wananjaa wamekondeana leo tena mataifa yote hayo makubwa yanataka kupigina na masikini😂

Bwana wenu Israel meli zake za vyakula zinapita uchochoroni kwenye mifereji Saudia na Dubai.

Yemen jana kashambulia meli mbili walikataa kutii sheria.
 
Acha tantarira nyingi kma una elimu kuliko mm lete hiyo hadithi hapa

Hlf una kipi cha kujisifu kua una elimu kubwa? Icho ulichokiandika tu inaonesha ww ni mchache wa Elimu
Wewe una elimu gani mwenywe elimu toka lini akajisifia. Unajisifia una elimu kuandika kwenyewe mtihani.
 
Dunia inaenda kasi sana binadamu anapanga yake Mungu anapanga yake malengo ya vita hawa magaidi Israel ilikuwa kuwatoa Hamas sasa Mungu kamleta mtetezi wa Hamas Yemen masikini sana lakini leo hii hasara anayowapo ni kubwa mno.
Leo makampuni makubwa ya meli duniani yamesitisha kupita bahari nyekundu yanazunguka Africa.
 

Attachments

  • IMG_7867.jpeg
    74.5 KB · Views: 2
Houthi kundi teule
Kama kawaida hakuna pambano United shit of Americant imeenda pekeee ikatoboa toka kuumbwa kwa dunia
Ila wasichokijua kwenye huo muungano wao wawaongeze korea kusina japan na wanachama wote wa NATO na EU ila hapo houthi kaishaweka block
Houthi kundi teule
 
[emoji298]️BREAKING

USA announced the start of Operation Prosperity Guardian

USA together with multiple countries including the UK, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles and Spain will try to safeguard the Red Sea

UAE and Saudi rejected US proposal to go against Yemen
 
.
 
Una akili kweli!, tushukuru serikali yetu kuwa makini sana na vyombo vya ulinzi na usalama kuendelea kuilinda nchi yetu,mtu kama wewe ukipata nafasi unaweza kuvaa boom na kulipua watu wa sio wa imani yako. Nenda huko Yemen uwasaidie hao Houth kuteka hizo meli, Leo yale mashambulizi ya 7 October kama yasingetokea wapalestina wangekuwa wanaendelea na maisha yao, huwezi kudai haki kwa vita na wakati uwezo wako ni mdogo sana wa kukabiliana na adui yako, kwa mazingira jinsi yalivyo Israel hawezi kukubali waunde taifa moja na wapalestina atakuwa anatayarisha usalama wa taifa lake, hata mtaifa 2 hawezi kukubali adui awe na nchi anunue silaha, awe na jeshi imara, ajenge uchumi wake, kama Rusia anavyofanya kwa Ukraine hata Israel anafanya hivo hivyo, katika jeshi la IDF, serkali ya Israel kuna waarabu, kuna wabunge mpaka mawaziri, na kuna raia wa kiarabu na ni waislam na wakristo, wapagani wanaishi vizuri sana kule Israel na wanafurahia democracy na wanapractise imani zao na Serikali inawalinda vizuri sana. Lakini ukija upande wa Gaza ni movement za kisiasa zenye mlengo wa dini, mapambano, Mahamoud Abas alishasoma upepo ndio maana hataki vita na Israel anajua nguvu ya Israel kiuchumi, na kijeshi, matokeo yake anaweza kupewa Gaza ili asimamie, Israel hawezi kuwaamini hamasi hata kidogo.
 
Acha upumbavu ww kumsingizia mtume wetu uongo iyo hadithi ipo kitabu gani na nani msimulizi wake na mpokeaji wake
Mkuu hawa wahuni ndio wanadhalilisha dini yenu wana kikundi Chao humu ndani yaani kutwa kuandika upumbavu tu, hawana elimu yeyote ya dini zaidi ya kujidhalilisha wao na dini yenyewe..

Umefanya jambo jema sana naona umembana mbavu anaishia kubwatuka tu kama mbwa aliye kwenye heat.
 
Uharo mtupu
 
Kenya vipi, haijaungana nao?
 
Peleka ujinga wako huko. Bora ungetoa sababu zisizokua za kidini. Mnatumia dini kwenye matatizo yanahitaji utatuzi wa hali halisi kisayansi. Watu wenu wanauliwa kama nzi kwa wingi halafu mnasema mumeshinda na kupiga vifua. Mtaendelea kushindwa hadi mwisho wa dunia wakati utajiri mnao mkubwa ila mnategemea miujiza isiyo na nguvu yoyote kuleta ushindi.
 
Juzi nilisema hapa saudia hawezi kukubali huu ujinga wa us sababu aliisha onjeshwa uchungu na houthi pia namahusiano yanayoboreka kati yake na iran
Hio koalishen bila saudia na uae haina maajabu
Ngoja watu wadhalilike wakimbie kama walivyokimbia Afghanistan
Houthi kundi teule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…