chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
leo ndo nimeamini huna akili.Qur'an3:169
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo ndo nimeamini huna akili.Qur'an3:169
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
Yupo ambaye yupo nyuma ya Yemen hapo middle East, kwa hiyo hapa zinahitajika jitihada za pamoja ili Ku square hii changamoto.Wote hao wanaungana kwa kanchi kamoja tena masikini sana hapo Middle East
Wacheni hizo hi si dini ya warabu kuna warabu wako wakristo wengi tu.akizid kijua dini ya waarabu ? hv unajiona timamu kwel ?
Uislam unakataza kuwauwa watu wasio na hatia, tatizo lenu nyie wakristo hamtaki ukweli?kama anawaruhusu muue viumbe alivyo viumba si mjing , huez sema ua huyo wkt yeye ndo kamuumba yaan huyo mung wenu haez kidhibit kiumbe kakiumba? mpk.mumsaidie kuua wasiomwamin huyo mungu wenu
Hizo ni firimbi tu na kelele, Hamasi kawakumuta Israel, America, Uingereza, Faransa, Ukraine, Spain, Germany, Italy, Canada, Australia tena mmefungia mpaa chakula, maji na silaha je mkimuwachie ashibe, anywe maji na aingize silaha siangewamaliza woteYupo ambaye yupo nyuma ya Yemen hapo middle East, kwa hiyo hapa zinahitajika jitihada za pamoja ili Ku square hii changamoto.
Israel ndio wanaoleta shida hapa duniani na dunia imeanza kutambua hiloHawa vibaka ndio wanafanya mafuta yapande bei tena, Leo BP wamekataa kupitisha meli yao, tankers nyingi nazo zimeanza kusimamisha mizigo yao, Houth wachapwe tuu kama Hamas wanatuletea matatizo hii dunia
Soma hiyo from voaIsrael ndio wanaoleta shida hapa duniani na dunia imeanza kutambua hilo
Matatizo yote ya ugaidi na mizozo ya kidini inasababishwa na hawa magaidi wanaotumia mwamvuli wa dini Yao ya kishetani! Tangu wamuue kijana wetu wakimtaja mungu wao wa upanga! Nachukia kitu inaitwa uislaum na muislam maana n Wana wa shetwani! Watu wanaoabudi majini na kuyafuga hao nao ni mashetani!Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini......
MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from Houthi-controlled areas of Yemen, Defense Secretary Lloyd Austin announces in Bahrain.
The seriousness of the attacks, several of which have damaged the vessels, has led multiple shipping companies to order their ships to hold in place and not enter the Bab el-Mandeb Strait until the security situation can be addressed.
“This is an international challenge that demands collective action,” Defense Secretary Lloyd Austin says in statement released just after midnight Tuesday in Bahrain. “Therefore today I am announcing the establishment of Operation Prosperity Guardian, an important new multinational security initiative.”
The United Kingdom, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, and Spain will join the US in the new mission, Austin announces. Some of the countries will conduct joint patrols while others provide intelligence support in the southern Red Sea and the Gulf of Aden.
The mission will be coordinated by the already existing Combined Task Force 153, which was set up in April 2022 to improve maritime security in the Red Sea, Bab el-Mandeb, and the Gulf of Aden. There have been 39 member nations in CTF 153, but officials were working to determine which of them would participate in this latest effort.
Three US warships — the USS Carney, the USS Stethem, and the USS Mason, all Navy destroyers — have been moving through the Bab el-Mandeb Strait daily to help deter and respond to attacks from the Houthis.
The move to set up the expanded operation came after three commercial vessels were struck by missiles fired by Iranian-back Houthis in Yemen on December 3. Those attacks were part of an escalating campaign of violence that also included armed and other drones launched in the direction of US warships.
To date the US has not struck back at the Iranian-back Houthis operating in Yemen or targeted any of the militants’ weapons or other sites. On Monday Austin did not answer a question as to why the Pentagon had not conducted a counterstrike.
Mwenye macho haambiwi tazama! comment yako ni somo tosha la namna gani wenye nguvu wanatuhadaa kwa kutengeneza makundi mauvu ya kigaidi kwa maslahi yao, na baadae wanapokuja kupambana nayo wanapambana nayo kwa jina la magaidi wa kiislamu.Ana uchumi Gani wa kusimamia vita akipigwa TU ban ya kuexport kaisha.
Au anaundiwa TU makundi ya kigaidi yapindue serikali kama walivyofanya Iraq na Libya then nchi ikishambaratika wanayaua makundi hayo
Alituroga Mungu tumpende yeye tu kuliko kitu chochote kile, siku ukikuta Muislam anamchukia Yesu basi weka akilini huyo ni kichaa. Tunampenda Yesu kwa kuwa ni Mtume wa Mungu.waislam kuna mtu aliwaroga sio bure
Audhu billahi mindhaalika, Allahu ni'mal wakeelUmeongea ukweli mchungu
Ila jiandae kuja kuitwa gaidi muda sio mrefu
Mkristo hakumuita Yesu Mungu bali Yesu Mwenyewe ndie alisema yeye ni Mungu.Alituroga Mungu tumpende yeye tu kuliko kitu chochote kile, siku ukikuta Muislam anamchukia Yesu basi weka akilini huyo ni kichaa. Tunampenda Yesu kwa kuwa ni Mtume wa Mungu.
Tunampenda Yesu kwa kuwa hajawahi kudai hata siku moja yeye ni Mungu.
Tunampenda Yesu sababu Mtume Muhammad na Qur'an zimetuambie tusiwabague Mitume wote tuwape heshima.
Tunampenda Yesu sababu alifundisha Mungu ni mmoja tu.
Vipi wewe mkristo umzulie uwongo Yesu kuwa kasema yeye ni Mungu wakati hajawahi kukuambieni yeye ni Mungu.
Hakuna ugaidi kwenye uislamu isipokuwa magaidi wanatumia dini kufanya ushetaniMatatizo yote ya ugaidi na mizozo ya kidini inasababishwa na hawa magaidi wanaotumia mwamvuli wa dini Yao ya kishetani! Tangu wamuue kijana wetu wakimtaja mungu wao wa upanga! Nachukia kitu inaitwa uislaum na muislam maana n Wana wa shetwani! Watu wanaoabudi majini na kuyafuga hao nao ni mashetani!
😄 kuna Waislam wengine ni fake, kama huyo kaja kakanusha hadith nilio weka, na akasema nani kaipokea nilipo mpa jibu akasema ya mtandaoni 😄.Hehehe nilishakuambia unachizi wewe hadi unatia huruma, yaani mpaka unakataliwa na wavaa makobaz wenzio....
Kwasababu sijawahi ona ukichangia mada zingine ila zinazohusu diniHapana mimi si Shekhe, mimi najitahidi kufahamu na kufahamishwa, hata mkristo akiwa na point nazikubali kama ni mafunzo ya Yesu si ya Paulo.
Nipo tayari pia kukosolewa lakini kwa elimu, sijawahi kusema mimi sikosei lakini huwezi kunikosoa kama huna cha kunikosoa.
Na asiye kubali kujifunza kama kakosea huyo ndio kala hasara.
Narudia tena mimi si Shekhe na mimi sikatai kukoselewa kama kweli nilicho ongea kina makosa, na siwezi kukubali kukosolewa na maneno yasio kuwa na dalili ya kunihakishia nilicho ongea kilikuwa kosa.
Nadhani umenifahamu ndugu, karibu sana kama kuna sehemu umeona nimeongea si kweli wewe unifundishe kwa dalili kumbuka elimu ni mwangaza
Kuna jitu humu lilishambulia utekaji wa hao magaidi, nikakimbia hao wanavutiwa pumzi tu ili dunia ihalarishe kupigwa kwao. Sijui linaposoma hii linajisikiaje.Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini......
MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from Houthi-controlled areas of Yemen, Defense Secretary Lloyd Austin announces in Bahrain.
The seriousness of the attacks, several of which have damaged the vessels, has led multiple shipping companies to order their ships to hold in place and not enter the Bab el-Mandeb Strait until the security situation can be addressed.
“This is an international challenge that demands collective action,” Defense Secretary Lloyd Austin says in statement released just after midnight Tuesday in Bahrain. “Therefore today I am announcing the establishment of Operation Prosperity Guardian, an important new multinational security initiative.”
The United Kingdom, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, and Spain will join the US in the new mission, Austin announces. Some of the countries will conduct joint patrols while others provide intelligence support in the southern Red Sea and the Gulf of Aden.
The mission will be coordinated by the already existing Combined Task Force 153, which was set up in April 2022 to improve maritime security in the Red Sea, Bab el-Mandeb, and the Gulf of Aden. There have been 39 member nations in CTF 153, but officials were working to determine which of them would participate in this latest effort.
Three US warships — the USS Carney, the USS Stethem, and the USS Mason, all Navy destroyers — have been moving through the Bab el-Mandeb Strait daily to help deter and respond to attacks from the Houthis.
The move to set up the expanded operation came after three commercial vessels were struck by missiles fired by Iranian-back Houthis in Yemen on December 3. Those attacks were part of an escalating campaign of violence that also included armed and other drones launched in the direction of US warships.
To date the US has not struck back at the Iranian-back Houthis operating in Yemen or targeted any of the militants’ weapons or other sites. On Monday Austin did not answer a question as to why the Pentagon had not conducted a counterstrike.
Faida gani nichangie mada zingine afu mimi nipo kwenye International forum sipo kwenye Forum ya dini.Kwasababu sijawahi ona ukichangia mada zingine ila zinazohusu dini
Hawa waislamu wengine ni wale hawajasoma dini yao hlf wabishi sanaa ukiwaelimisha ni ubishi tuAtleast wewe na adriz mambo yenu huwa munayaleta hata kama mtu sio muumini anaweza elewa.