Una akili kweli!, tushukuru serikali yetu kuwa makini sana na vyombo vya ulinzi na usalama kuendelea kuilinda nchi yetu,mtu kama wewe ukipata nafasi unaweza kuvaa boom na kulipua watu wa sio wa imani yako. Nenda huko Yemen uwasaidie hao Houth kuteka hizo meli, Leo yale mashambulizi ya 7 October kama yasingetokea wapalestina wangekuwa wanaendelea na maisha yao, huwezi kudai haki kwa vita na wakati uwezo wako ni mdogo sana wa kukabiliana na adui yako, kwa mazingira jinsi yalivyo Israel hawezi kukubali waunde taifa moja na wapalestina atakuwa anatayarisha usalama wa taifa lake, hata mtaifa 2 hawezi kukubali adui awe na nchi anunue silaha, awe na jeshi imara, ajenge uchumi wake, kama Rusia anavyofanya kwa Ukraine hata Israel anafanya hivo hivyo, katika jeshi la IDF, serkali ya Israel kuna waarabu, kuna wabunge mpaka mawaziri, na kuna raia wa kiarabu na ni waislam na wakristo, wapagani wanaishi vizuri sana kule Israel na wanafurahia democracy na wanapractise imani zao na Serikali inawalinda vizuri sana. Lakini ukija upande wa Gaza ni movement za kisiasa zenye mlengo wa dini, mapambano, Mahamoud Abas alishasoma upepo ndio maana hataki vita na Israel anajua nguvu ya Israel kiuchumi, na kijeshi, matokeo yake anaweza kupewa Gaza ili asimamie, Israel hawezi kuwaamini hamasi hata kidogo.