Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

Juzi nilisema hapa saudia hawezi kukubali huu ujinga wa us sababu aliisha onjeshwa uchungu na houthi pia namahusiano yanayoboreka kati yake na iran
Hio koalishen bila saudia na uae haina maajabu
Ngoja watu wadhalilike wakimbie kama walivyokimbia Afghanistan
Houthi kundi teule
 
Huna unalolijua
Wapalestine tokea walipoporwa ardhi zao na magaidi wa kizayuni wanaoungwa mkono na wewe nawenzio hapa ndani hata siku moja hawakuwahi kuishi kwa amani walikua wanaishi tuuu
October 7 imemkumbusha israhell kua anakalia ardhi za watu na anatakiwa aondoke arejee alipotoka
Hamas kundi teule
 
Za asubuhi gaidi?
 
Za asubuhi gaidi?
😄 nimekuwa gaidi tena? Sawa tu nakupenda sana kwa ajili ya Mungu we nifundishe ukristo wapi unakataza mtu asijitetee kwenye haki yake?

Ukraine mbona hamjamuita gaidi au America ndio anaye tuletea fatwa sisi hatujui 😄

Hakuna gaidi duniani kama America na Israel.

Hamasi vipenzi vya Mungu na Al Houti ni vipenzi wa Mungu, we njoo kwenye uislamu ndio utapata Amani ya maisha.
 
Hakuna Mungu isipokuwa allah
 
Wote hao wanaungana kwa kanchi kamoja tena masikini sana hapo Middle East
Yemen si masikini ni matajiri sana, America na uingereza hawataki kuona wa Yemen kitu kimoja ndio wanatia tia fitna huku na kule ili nchi hio istulie.

Yemen ni tajiri kuliko hata Saud Arabia
 
Hakuna Mungu isipokuwa allah
Hamfahamu mana yake.

Yani Mungu anasema hakuna Mungu isipokuwa Mungu peke yake.

Yesu si Mungu, wala Masanamu si Miungu.

Mungu ni yule aliye Mumbai Adam, YESU, Mama yake Yesu na hata Paulo kaumbwa na Mungu 😄

Tatizo Paulo alikuwa mjinga sana akanza wafundishe Binadamu pia eti ni Mungu au mtoto wa Mungu 😄

Hata Shetani hajafikia kukufuru vile ana muita Mungu kwa Kumuita kwa Utukufu wako.

Shetani akamuambia Mungu tawapoteza binadamu wote isipokuwa wale watakao fata nafunzo ya Mungu kwa kutumia Mitume wa Mungu umeona?

Yesu hakusema yeye ni Mungu ni Paulo ndio anawapoteza.

Njia ya kwenda peponi ni Mungu mmoja tu, na kuamini Mitume wote kina Ibrahim, Mussa na issa(Yesu)na Muhammad.
 
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kutetea hii kitu.
Mimi nimequote
Lailah hailah Lah
Hakuna Mungu ila allah
 
Hao magaidi wa Houthi wanatakiwa kudhibitiwa kikamilifu kwa nguvu za kijeshi kama walivyodhibitiwa Maharamia wa Al-Shabab waliokuwa wakiteka meli kule Pwani ya Somalia miaka ya nyuma.
Magaidi yote tu chini ya jua yanayouwa binadamu wenzao na kutamka neno Allahu Akbar yanatakiwa kufyekelewa mbali. MUNGU WETU SIO DHAIFU KIASI HICHO WALA HAHITAJI MSAADA WA DINI YOYOTE KUMTETEA KWA KUMWAGA DAMU YA WATU WENYE IMANI TOFAUTI WASIO NA HATIA.
 
Hivi mkuu wewe ni shehe?
 
Hivi mkuu wewe ni shehe?
Hapana mimi si Shekhe, mimi najitahidi kufahamu na kufahamishwa, hata mkristo akiwa na point nazikubali kama ni mafunzo ya Yesu si ya Paulo.

Nipo tayari pia kukosolewa lakini kwa elimu, sijawahi kusema mimi sikosei lakini huwezi kunikosoa kama huna cha kunikosoa.

Na asiye kubali kujifunza kama kakosea huyo ndio kala hasara.

Narudia tena mimi si Shekhe na mimi sikatai kukoselewa kama kweli nilicho ongea kina makosa, na siwezi kukubali kukosolewa na maneno yasio kuwa na dalili ya kunihakishia nilicho ongea kilikuwa kosa.

Nadhani umenifahamu ndugu, karibu sana kama kuna sehemu umeona nimeongea si kweli wewe unifundishe kwa dalili kumbuka elimu ni mwangaza
 
waislam kuna mtu aliwaroga sio bure
 
akizid kijua dini ya waarabu ? hv unajiona timamu kwel ?
 
There's no God but allah
Zaburi 20 inasema
Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu
Zaburi alishushiwa nani?

Kweli kabisa sote tuna amini Mungu. Je anaye amini sanamu ni Mungu na binadamu ni Mungu zaburi inajibu vipi?

Usikimbie hio hio zaburi nataka inijibu wanao amini Ngo'mbe ni Mungu zaburi inasemaje?
 
Mudy ndio nani?

Allah= Mungu sa Mungu ni mjinga?
kama anawaruhusu muue viumbe alivyo viumba si mjing , huez sema ua huyo wkt yeye ndo kamuumba yaan huyo mung wenu haez kidhibit kiumbe kakiumba? mpk.mumsaidie kuua wasiomwamin huyo mungu wenu
 
Hiki kikundi cha magaidi cha Houthi nacho kimefikia mwisho wake kama wahuni wenzao magaidi HAMAS
Sio mwanzo na wala haitakuwa mwisho as long as bado tupo kwenye fikra za kitumwa. Huu ni muelendelezo tu, wazungu walianza zamani kusambaratisha magaidi mababu zetu all over Africa.

Same story goes on! watu wanaitwa magaidi kwa ku-protect zone zao from super powers who are thousands of miles away from their lands, na baya zaidi watumwa sisi wa fikra tunashabikia! .... Wazungu wamefanikiwa!

US na washirika wake wanajifanya ni waleta amani duniani lakini angle yao siku zote ni zile nchi zenye maslahi kwao na zilizo inferior kinguvu ya kijeshi kwao. ABADAN hawatoenda kupeleka amani yao China, South Korea wala Russia! .... bali ni kwa wale waliowatawala ni nguvu na kifikra!
 
Umeongea ukweli mchungu
Ila jiandae kuja kuitwa gaidi muda sio mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…