Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

akizid kijua dini ya waarabu ? hv unajiona timamu kwel ?
Wacheni hizo hi si dini ya warabu kuna warabu wako wakristo wengi tu.

Uislam ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad, wewe nieleze wapi Mussa alikwenda kanisani, au Ibrahim au Yesu.

Ulimuona vipi Mussa akisali? Au Ibrahim? Au Yesu.

Je walisali kama nyie mnavo sali kanisani? Au walisali kama Waislam?

Qur'an ikosomwa tu hata wewe kama hujui kiarabu roho inatulizana bariidi

View: https://youtube.com/shorts/Woxss4T0gHw?si=E_UUJR9lPOexHU9b
 
kama anawaruhusu muue viumbe alivyo viumba si mjing , huez sema ua huyo wkt yeye ndo kamuumba yaan huyo mung wenu haez kidhibit kiumbe kakiumba? mpk.mumsaidie kuua wasiomwamin huyo mungu wenu
Uislam unakataza kuwauwa watu wasio na hatia, tatizo lenu nyie wakristo hamtaki ukweli?

Israel akiwauwa watoto na wanawake pamoja na wazee au vijana wasio na hatia wa Palestine mnashangilia na kusema hilo ni taifa teule.

Kwa hio taifa teule leni liuwe kawaida, Hamasi akiwauwa tena askari wa Israel mnawaita magaidi hamuoni kama dini yenu inakasoro.
 
Yupo ambaye yupo nyuma ya Yemen hapo middle East, kwa hiyo hapa zinahitajika jitihada za pamoja ili Ku square hii changamoto.
Hizo ni firimbi tu na kelele, Hamasi kawakumuta Israel, America, Uingereza, Faransa, Ukraine, Spain, Germany, Italy, Canada, Australia tena mmefungia mpaa chakula, maji na silaha je mkimuwachie ashibe, anywe maji na aingize silaha siangewamaliza wote

Yemen hawamuwezi, kule Iran ndio msisogee kabisa mtabishwa vibaya sana
 
Hawa vibaka ndio wanafanya mafuta yapande bei tena, Leo BP wamekataa kupitisha meli yao, tankers nyingi nazo zimeanza kusimamisha mizigo yao, Houth wachapwe tuu kama Hamas wanatuletea matatizo hii dunia
Israel ndio wanaoleta shida hapa duniani na dunia imeanza kutambua hilo
 
Matatizo yote ya ugaidi na mizozo ya kidini inasababishwa na hawa magaidi wanaotumia mwamvuli wa dini Yao ya kishetani! Tangu wamuue kijana wetu wakimtaja mungu wao wa upanga! Nachukia kitu inaitwa uislaum na muislam maana n Wana wa shetwani! Watu wanaoabudi majini na kuyafuga hao nao ni mashetani!
 
Ana uchumi Gani wa kusimamia vita akipigwa TU ban ya kuexport kaisha.
Au anaundiwa TU makundi ya kigaidi yapindue serikali kama walivyofanya Iraq na Libya then nchi ikishambaratika wanayaua makundi hayo
Mwenye macho haambiwi tazama! comment yako ni somo tosha la namna gani wenye nguvu wanatuhadaa kwa kutengeneza makundi mauvu ya kigaidi kwa maslahi yao, na baadae wanapokuja kupambana nayo wanapambana nayo kwa jina la magaidi wa kiislamu.

Ila dunia imeanza kuelewa ni nani yupo behind haya makundi ya kigaidi, na ni wao wenyewe wazungu!
 
waislam kuna mtu aliwaroga sio bure
Alituroga Mungu tumpende yeye tu kuliko kitu chochote kile, siku ukikuta Muislam anamchukia Yesu basi weka akilini huyo ni kichaa. Tunampenda Yesu kwa kuwa ni Mtume wa Mungu.

Tunampenda Yesu kwa kuwa hajawahi kudai hata siku moja yeye ni Mungu.

Tunampenda Yesu sababu Mtume Muhammad na Qur'an zimetuambie tusiwabague Mitume wote tuwape heshima.

Tunampenda Yesu sababu alifundisha Mungu ni mmoja tu.

Vipi wewe mkristo umzulie uwongo Yesu kuwa kasema yeye ni Mungu wakati hajawahi kukuambieni yeye ni Mungu.
 
Mkristo hakumuita Yesu Mungu bali Yesu Mwenyewe ndie alisema yeye ni Mungu.
Mungu ni mmoja ila kiutendaji amekaa katika nafasi tatu ndo maana ya utatu Mtakatifu,Utatu Mtakatifu ni fundisho la Yesu na sio mwanadamu.
" enendeni ulimwenguni pote mkawafanye watu kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa jina la Baba,la Mwana na la Roho Mtakatifu.
 
Hakuna ugaidi kwenye uislamu isipokuwa magaidi wanatumia dini kufanya ushetani
 
Hehehe nilishakuambia unachizi wewe hadi unatia huruma, yaani mpaka unakataliwa na wavaa makobaz wenzio....
😄 kuna Waislam wengine ni fake, kama huyo kaja kakanusha hadith nilio weka, na akasema nani kaipokea nilipo mpa jibu akasema ya mtandaoni 😄.

Yeye kaniomba hadithi nimempa kasema ya mitandaoni kwani kwenye mitandaoni hakuna Qur'an au hadithi sahihi? huyo unaye muita mvaa makobaz labda ni mtu wenu au kuna wale waislam jina.

Huoni hata America anawapenda waislamu wanao jidai pro west anawaita moderate Muslim 😄

Mimi nimemuomba kitabu alicho jidai yeye ana kisema ndio zina hadithi sahihi 💯 kakimbia sababu hakuna kitabu cha namna hio.

Wewe pia si unaquote hadithi kwa hio wewe ni Muislam.

Tunafahamu wazi ziko hadithi fake na za kweli, lakini unazichunguza kwa kutumia akili sio kuna kukanusha au kuikubali bila point.

Nimemuliza huyo rafiki yako wapi Mtume aliwasemacwa Yemen hawana akili? Sijawahi ona zaidi ya hadithi akiwasifia wa Yemen.

Huyo na wewe hata muwe na mawazo tofauti na mimi, si siku zote wewe uko sawa au mimi niko sawa aliye kuwa sawa ni Mungu tu.

Haya unalingine?

YEMENI PIGA KONDOO HAO
 
Kwasababu sijawahi ona ukichangia mada zingine ila zinazohusu dini
 
Kuna jitu humu lilishambulia utekaji wa hao magaidi, nikakimbia hao wanavutiwa pumzi tu ili dunia ihalarishe kupigwa kwao. Sijui linaposoma hii linajisikiaje.
 
Kwasababu sijawahi ona ukichangia mada zingine ila zinazohusu dini
Faida gani nichangie mada zingine afu mimi nipo kwenye International forum sipo kwenye Forum ya dini.

Mawazo yako wewe unadhani tunapo sema haki kuhusu Hamasi au Yemen si kwamba mimi na chuki na wakristo au wayahudi.

Mimi hata ndugu yangu wababa na mama awe anakosa lazima nimkosee na yeye vile vile, kwa dalili sio kwa kelele na kujidai wewe unafahamu kuliko mwenzako.

Na marafiki zangu chungu nzima ni wakristo tunaheshimiana na tunapendana kama kawaida linapokuja swali la Israel wako wanasapoti Palestine na wako Israel sina matatizo nao kila mmoja ana view anavyo ona yeye.

Hata na marafiki zangu warabu wako wanaipenda America na Uingereza na wako wanawachukia.

Kwa hio sio kila anaye ishangilia Urusi au Mchina ni Catholic au Bhudas wako Waislam wengi wanawasapoti warusi na wachina.

Tatizo hapa JF kuna wajinga wanadhani Israel kwenye bibilia ni nchi, wakati inampoint Yakobo.

Yani Israel hata wafanye genocide sawa tu wanawashangilia na Hamasi akiwapiga hata kama anajitetea ni gaidi.
 
Atleast wewe na adriz mambo yenu huwa munayaleta hata kama mtu sio muumini anaweza elewa.
Hawa waislamu wengine ni wale hawajasoma dini yao hlf wabishi sanaa ukiwaelimisha ni ubishi tu

Ss tunatoa facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…