Mr bizy man
Member
- Aug 2, 2015
- 13
- 3
Naomba kufahamu je mwathirika wa ugonjwa wa UKIMWI anaweza kufanyiwa upasuaji wa kansa kama ya titi na akazidi kusurvive?
Msaada please.
Msaada please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann asiweze sasa amuone daktari kwa ushauri zaidi
Ndugu, kuna dawa za kutibu kansa??Kama hapendi kufanyiwa opertion kuna dawa ambazo anaweza kutumia na zkamponyesha kansa .na hata huo ukmwi kunadawa za kuongeza cd4,kwa maelezo zaid 0712757453
Ndugu, kuna dawa za kutibu kansa??
Je hizo dawa zako zimethibitishwa na TFDA?
Naomba kufahamu je mwathirika wa ugonjwa wa UKIMWI anaweza kufanyiwa upasuaji wa kansa kama ya titi na akazidi kusurvive?
Msaada please.
Nitafute mim ninayo. Ni laki 195,000 kwa chupa 1!
Hapa naona wapiga dili tu , kama una vvu+cancer nenda ocean load au bugando onana na madaktar kwa maelekezo zaodi. Tusiamin kikombe cha babu na kupotoshana.
Dawa za kansa zipo mkuu
Kama una mgonjwa huyo basi nakushauri ufuatilie tiba mbadala za cancer,ukimpeleka akafanyiwe upasuaji atapewa na dawa nyingine zinazoendana na upasuaji wa cancer,dawa hizo ukijumlisha na sumu za ARVs ni bomu ambalo hakuna wa kulizuia.Utamuua ndugu yako kwa haraka sana.
Elimu:
1.Cancer haiponi kwa upasuaji kwa kuwa upasuaji unaondoa uvimbe tu wa cancer,uvimbe wa cancer sio cancer bali cancer ni kitu kingine kabisa na ndicho hiko kitu kilichosababisha uvimbe,ukiondoa hiko kitu na uvimbe utaondoka wenyewe.Kwa kuwa tiba za cancer mahospitalini hutibu dalili tu za cancer,ndio maana hadi leo hii kuna watu wengi wanajua kwamba cancer haina tiba.Nataka nikwambie kwamba cancer ina tiba na unapona kabisa.
2.Kama atakuwa anatumia ARVs,fahamu kwamba hiyo cancer aliyonayo lazima itakuwa imesababishwa na ARVs,amini usiamini.Hivyo kumtibu cancer huku anaendelea kutumia ARVs ni kujidanganya tu.Ukifuatilia mabandiko yangu utaelewa mengi sana kuhusu HIV/AIDS na cancer na ukishaelewa haya mambo mawili utayadharau sana.Watu wanaogopa HIV/AIDS na cancer kwa sababu ya kukosa uelewa sahihi wa mambo hayo.
Ushauri:
Ukitaka kumuokoa ndugu yako basi fuata ushauri huu.Mpeni vyakula na supplements za kuondoa sumu mwilini,mfanyieni masaji ya kuondoa sumu mwilini.Hakuna kingine kinachomsumbua zaidi ya sumu mwilini ambazo zimesababishwa na vyakula vibovu,madawa mbalimbali ya hospitali kama vidonge vya uzazi wa mpango,antibiotics,vidonge vya kutuliza maumivu mara kwa mara,ARVs nk.
Sipati taswira jinsi mwili wake ulivyojaa sumu.Fuata ushauri huu ndugu yangu na wewe mwenyewe utaona matokeo yake.
Angalizo:
Kama anatumia ARVs hatakiwi kuacha ghafla,kuacha ARVs kuna utaratibu wake.