Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Hiki ndio kinachotakiwa. Hata mahubiri inatakiwa yawalenge sana vijana kuhusu kutojihusisha na itikadi kali.

Nimekaa karibu na misikiti mingi lakini sijawahi kusikia wakikemea kuhusu ugaidi sana sana zinapokaribia Pasaka na Christmass wao kazi kutunanga wakiwaambia waumini wao hata kushiriki nasi chakula ni machukizo kwa Allah.

Anyway kama navyoumia huku kwenye Ukristo unapotumiwa na manabii uchwara kufanya utapeli ndivyo ninavyoumia Uislamu kuhusishwa na ugaidi.

Rafiki yangu wa toka utotoni ambaye kwa sasa ni kama ndugu ni Muislamu. Nina dada na kaka Waislamu pia.
 
Tulia huujui vizur uislamu wewe hao ni martry na allah ameruhusu.
 
Akina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Una onesha una akili za samaki, ukigeuka tu, umesahau ulichosoma. Au ndiyo shule za kusomea ujinga? Huelewi unachokisoma? Au ni uongo wa ukondoo tu unakusumbuwa.

Hayo ni maneno ya Trump tena kupitia CNN. Jikumbushe:

Here’s how ISIS was really founded​

By Jason Hanna, CNN
4 minute read
Updated 2:05 PM EDT, Sat August 13, 2016...

https://edition.cnn.com/2016/08/12/middleeast/here-is-how-isis-began/index.html
 
H


Wanaotumika ni wenye tamaa ya maisha. Wasioujuwa Uislam.
 
Wanajua sana kwamba wanapigania jihad ila wakikamatwa ndio wanatunga uongo

Hwa jamaa wanaambiwa kuna kazi , jamaa tulimuhoji akasema ilifika muda wa salah , anaona jamaa hawana mda na salah kwanza ni porini ...Walimpa eneo la kufanya ibada ila wao wengi hawasali .


Hii ndio michongo hata biashara ya madawa ukifika huko ndio unajua kila kitu .
 
Li islamu limechafukwa kwani ungemjibu kwa staha ungepoteza nini?
Kauli na matendo yako yanadhihirisha ugaidi
 
Mbona inasema Kisomali?

Uongo mtupu.
 
Msilete mambo ya kihuni.
Uislamu wa kweli huwezi kuutenga na kumwaga damu (ugaidi).
Mtume wenu ndiye muasisi wa ugaidi.
Kapigana zaidi ya mara 83 kwasababu ya Allah.
Kwahiyo nyie waislamu vuguvugu ni heri muje tu kwa Yesu muishi kwa furaha au mkatimize uislamu wa kweli kwa kuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…