magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Hiki ndio kinachotakiwa. Hata mahubiri inatakiwa yawalenge sana vijana kuhusu kutojihusisha na itikadi kali.Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vinaja na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Nimekaa karibu na misikiti mingi lakini sijawahi kusikia wakikemea kuhusu ugaidi sana sana zinapokaribia Pasaka na Christmass wao kazi kutunanga wakiwaambia waumini wao hata kushiriki nasi chakula ni machukizo kwa Allah.
Anyway kama navyoumia huku kwenye Ukristo unapotumiwa na manabii uchwara kufanya utapeli ndivyo ninavyoumia Uislamu kuhusishwa na ugaidi.
Rafiki yangu wa toka utotoni ambaye kwa sasa ni kama ndugu ni Muislamu. Nina dada na kaka Waislamu pia.