Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Hahahaaaa alha ni liuwaji

Kwani uko si mnauwana shia na suni kwa Upumbavu wenu.
Vita ya kwanza na ya pili duniani si mmepigana wagalatia watupu ?
Ukraine na Russia wote ni wagalatia wanapiga kama mbwa .
 
Vita ya kwanza na ya pili duniani si mmepigana wagalatia watupu ?
Ukraine na Russia wote ni wagalatia wanapiga kama mbwa .
Ile siyo vita ya kidini ni vita vya nchi na nchi. Sasa shia kuuwana na suni uoni mnauwana kwa kupigani kidini?
 
Bokoharam, alshabaab, alqaeda, Hezbollah, Houth yameundwa na myahudi pia?
 
Bokoharam, alshabaab, alqaeda, Hezbollah, Houth yameundwa na myahudi pia?
Houth walipigana nje ya nchi yao kuanzia lin? 😀 😀 D

Dogo sikia hayo makundi ni ya juzi , tangu USA avamie kule ndio tabu ilianza ...Mwanzoni ilikuwa inapigana nchi na nchi sio makundi , kama Misri na Israel ...
 
Headshot instead of interviewing him.
Eliminate them
 
Kabisa inakera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…