Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hata hapo kibiti na mkuranga zilipoanza chokochoko za ugaidi ni US ndio alivamia sio?!Houth walipigana nje ya nchi yao kuanzia lin? 😀 😀 D
Dogo sikia hayo makundi ni ya juzi , tangu USA avamie kule ndio tabu ilianza ...Mwanzoni ilikuwa inapigana nchi na nchi sio makundi , kama Misri na Israel ...
Adiosamigo Baljurashi HammazAkina bi FaizaFoxy wanakwambia Isis iliundwa na Israel pamoja na Marekani.
Hadi naogopa kuna dili nimepata arabuniJamaa ameeleza mwanzo mwisho , walichukuliwa kama kuna kazi , baadae walipofika wakaambia wanaenda kupigania dini , wakapewa mafunzo ya mwezi mmoja na nusu ..Halafu wakaenda kupigana na Al shabab .
Pia, jamaa kataja wenzie ambao wanatokea somalia , kenya , morroco, ethiopia na Tunisia ila kwa majina hajui anajua utaifa wao ...Kiongozi wao ni Mtu wa ethiopia ...Wamekaa kweny milima zaidi ya mwaka , jamaa akachaguliwa kuwa mstari wa mbele kweny vita .
Jamaa anasema walipanga kutoroka , basi walikimbilia kijiji cha jirani wakina na njaa sana .
Wale wa Kibiti walitaka kuiga haya.Jamaa ameeleza mwanzo mwisho , walichukuliwa kama kuna kazi , baadae walipofika wakaambia wanaenda kupigania dini , wakapewa mafunzo ya mwezi mmoja na nusu ..Halafu wakaenda kupigana na Al shabab .
Pia, jamaa kataja wenzie ambao wanatokea somalia , kenya , morroco, ethiopia na Tunisia ila kwa majina hajui anajua utaifa wao ...Kiongozi wao ni Mtu wa ethiopia ...Wamekaa kweny milima zaidi ya mwaka , jamaa akachaguliwa kuwa mstari wa mbele kweny vita .
Jamaa anasema walipanga kutoroka , basi walikimbilia kijiji cha jirani wakina na njaa sana .
Sikiliza nikuambie ,Al qaid iliundwa na osama ambaye alikuwa former CIA miaka ya 80's, umenielewa baadae kundi hilo lilianza kufanya mauaji mashariki ya kati .Yaani Osama kama kiongozi aliangamiza ndgu zake , baadae akaja kupata skendo ya 11/9 ambapo aliua maelfu ya watu kule Marekani..Baadhi ya documentaries zinaonesha lile tukio limefnywa na jews , sina hakika ila Osama alikuwa mshukiwa wa kwanza.Hata hapo kibiti na mkuranga zilipoanza chokochoko za ugaidi ni US ndio alivamia sio?!
Kuna wengine walikuwa mapango ya Amboni pale Tanga ndio hao hao .Wale wa Kibiti walitaka kuiga haya.
Ni kwa nn hawa watu hupitia dini hii kuanzisha makundi yote haya?Sikiliza nikuambie ,Al qaid iliundwa na osama ambaye alikuwa former CIA miaka ya 80's, umenielewa baadae kundi hilo lilianza kufanya mauaji mashariki ya kati .Yaani Osama kama kiongozi aliangamiza ndgu zake , baadae akaja kupata skendo ya 11/9 ambapo aliua maelfu ya watu kule Marekani..Baadhi ya documentaries zinaonesha lile tukio limefnywa na jews , sina hakika ila Osama alikuwa mshukiwa wa kwanza.
Baada ya USA kuingia mashariki ya kati ndio likaibuka ISIS , kipind hicho Osam anaishi kama digi digi yaani anatafutwa ...2006 baada ya kunyongwa Saddam pale Iraq paliibuka makundi zaidi ya 20 , mpaka leo ni machafuko.
View attachment 3127959
Makundi haya yalianzishwa makusudi kama mercentaries , kuna wahusika wanatafutwa humo ndani ....ISIS hajawahi kupigana na Israel ila kapigana na Hamas na Houth .Ni kwa nn hawa watu hupitia dini hii kuanzisha makundi yote haya?
Kweli kabisa juzi nimeona wanaandamana hamburg germany.. wanataka sharia law amabzo wameziacha kwao arabuni.Kusingekuwepo Uislamu, Dunia ingekuwa mahali salama. hawa jamaa hawana rafiki. sikuzote ni kutafuta ugomvi.. wakikosa wa kugombana naye zinapigwa wao kwa wao.
Naam Mkuu, nimeitikia wito wako!
Pitia Uzi mkuu utoe maoni yakoNaam Mkuu, nimeitikia wito wako!
Kunani tena?
Haha mvaa madera keshaenda kwenye mito ya pombe yakheeAllah anapiganiwa na waislamu ambao hawatafuti pesa ila pepo
Netanyahuuu akbaaaarJibu hoja zake, kama unaweza.
Wachana kabisa na "huyu dada".
Na wale wanaoua wanasema wanaua kwa jina la allah sasa unataka kusema kitu gani.Mgemuliza Uislam unasema nini kuwauwa watu wasio na makosa.
Bokoharam, Alshabaab, ADF, walishawahi kuishambulia Israel?!Sababu hawajai kuigusa Israel wao wataenda kuua watu Iran, Russia ila mataifa ya Israel na maslah yake wala hawagusi
Muda si mrefu wataanza ugaidi huko Ulaya halafu watasingizia Marekani na IsraelKweli kabisa juzi nimeona wanaandamana hamburg germany.. wanataka sharia law amabzo wameziacha kwao arabuni.
Mkuranga na kibiti ni chokochoko za Mmarekani?!Sikiliza nikuambie ,Al qaid iliundwa na osama ambaye alikuwa former CIA miaka ya 80's, umenielewa baadae kundi hilo lilianza kufanya mauaji mashariki ya kati .Yaani Osama kama kiongozi aliangamiza ndgu zake , baadae akaja kupata skendo ya 11/9 ambapo aliua maelfu ya watu kule Marekani..Baadhi ya documentaries zinaonesha lile tukio limefnywa na jews , sina hakika ila Osama alikuwa mshukiwa wa kwanza.
Baada ya USA kuingia mashariki ya kati ndio likaibuka ISIS , kipind hicho Osam anaishi kama digi digi yaani anatafutwa ...2006 baada ya kunyongwa Saddam pale Iraq paliibuka makundi zaidi ya 20 , mpaka leo ni machafuko.
View attachment 3127959