Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Houth walipigana nje ya nchi yao kuanzia lin? 😀 😀 D

Dogo sikia hayo makundi ni ya juzi , tangu USA avamie kule ndio tabu ilianza ...Mwanzoni ilikuwa inapigana nchi na nchi sio makundi , kama Misri na Israel ...
Hata hapo kibiti na mkuranga zilipoanza chokochoko za ugaidi ni US ndio alivamia sio?!
 
Jamaa ameeleza mwanzo mwisho , walichukuliwa kama kuna kazi , baadae walipofika wakaambia wanaenda kupigania dini , wakapewa mafunzo ya mwezi mmoja na nusu ..Halafu wakaenda kupigana na Al shabab .

Pia, jamaa kataja wenzie ambao wanatokea somalia , kenya , morroco, ethiopia na Tunisia ila kwa majina hajui anajua utaifa wao ...Kiongozi wao ni Mtu wa ethiopia ...Wamekaa kweny milima zaidi ya mwaka , jamaa akachaguliwa kuwa mstari wa mbele kweny vita .

Jamaa anasema walipanga kutoroka , basi walikimbilia kijiji cha jirani wakina na njaa sana .
Hadi naogopa kuna dili nimepata arabuni
 
Wale wa Kibiti walitaka kuiga haya.
 
Hata hapo kibiti na mkuranga zilipoanza chokochoko za ugaidi ni US ndio alivamia sio?!
Sikiliza nikuambie ,Al qaid iliundwa na osama ambaye alikuwa former CIA miaka ya 80's, umenielewa baadae kundi hilo lilianza kufanya mauaji mashariki ya kati .Yaani Osama kama kiongozi aliangamiza ndgu zake , baadae akaja kupata skendo ya 11/9 ambapo aliua maelfu ya watu kule Marekani..Baadhi ya documentaries zinaonesha lile tukio limefnywa na jews , sina hakika ila Osama alikuwa mshukiwa wa kwanza.

Baada ya USA kuingia mashariki ya kati ndio likaibuka ISIS , kipind hicho Osam anaishi kama digi digi yaani anatafutwa ...2006 baada ya kunyongwa Saddam pale Iraq paliibuka makundi zaidi ya 20 , mpaka leo ni machafuko.

Screenshot (470).png
 
View attachment 3127959
Ni kwa nn hawa watu hupitia dini hii kuanzisha makundi yote haya?
 
Makundi haya yalianzishwa makusudi kama mercentaries , kuna wahusika wanatafutwa humo ndani ....ISIS hajawahi kupigana na Israel ila kapigana na Hamas na Houth .
 
Kusingekuwepo Uislamu, Dunia ingekuwa mahali salama. hawa jamaa hawana rafiki. sikuzote ni kutafuta ugomvi.. wakikosa wa kugombana naye zinapigwa wao kwa wao.
Kweli kabisa juzi nimeona wanaandamana hamburg germany.. wanataka sharia law amabzo wameziacha kwao arabuni.
 
Mgemuliza Uislam unasema nini kuwauwa watu wasio na makosa.
Na wale wanaoua wanasema wanaua kwa jina la allah sasa unataka kusema kitu gani.

Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Sikiliza nikuambie ,Al qaid iliundwa na osama ambaye alikuwa former CIA miaka ya 80's, umenielewa baadae kundi hilo lilianza kufanya mauaji mashariki ya kati .Yaani Osama kama kiongozi aliangamiza ndgu zake , baadae akaja kupata skendo ya 11/9 ambapo aliua maelfu ya watu kule Marekani..Baadhi ya documentaries zinaonesha lile tukio limefnywa na jews , sina hakika ila Osama alikuwa mshukiwa wa kwanza.

Baada ya USA kuingia mashariki ya kati ndio likaibuka ISIS , kipind hicho Osam anaishi kama digi digi yaani anatafutwa ...2006 baada ya kunyongwa Saddam pale Iraq paliibuka makundi zaidi ya 20 , mpaka leo ni machafuko.

View attachment 3127959
Mkuranga na kibiti ni chokochoko za Mmarekani?!
 
Back
Top Bottom