Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Ina fikirisha saaaana kwa kweli π€π€π€Muumini anashika bunduki anaua Muumini mwenzake lawama anapewa Marekani.
Huwa najiuliza kwanini Marekan wanashindwa kuunda vikundi vya Wasabato, Wakatoliki, Walutherani, hata vya Walokole akawapa bunduki waue watu?
Kuna udhaifu mahali.
Faiza umesoma vizuri hii habari na ukaielewa?Una onesha una akili za samaki, ukigeuka tu, umesahau ulichosoma. Au ndiyo shule za kusomea ujinga? Huelewi unachokisoma? Au ni uongo wa ukondoo tu unakusumbuwa.
Hayo ni maneno ya Trump tena kupitia CNN. Jikumbushe:
Hereβs how ISIS was really founded
By Jason Hanna, CNN
4 minute read
Updated 2:05 PM EDT, Sat August 13, 2016...
https://edition.cnn.com/2016/08/12/middleeast/here-is-how-isis-began/index.html
MythMkuranga na kibiti ni chokochoko za Mmarekani?!
Hakukua na shida yoyote kule. Mlilishwa matango poriMkuranga na kibiti ni chokochoko za Mmarekani?!
Kawaida hata waisrael wamepelekwa kuimba kwaya huko mbinguniHaha mvaa madera keshaenda kwenye mito ya pombe yakhee
Ukiielewa wewe inatosha.Faiza umesoma vizuri hii habari na ukaielewa?
Hapo ndiyo mwisho wa kondoo kufikiri.Netanyahuuu akbaaaar
Sawa ngamia mwenye nundu lake mashalaaaHapo ndiyo mwisho wa kondoo kufikiri.
Sikushangai.
El comandantee.....uzuri sie tunapenda ule mvinyo vip kama ule muujiza wa kwanza wa yesu .si unauja yakhee.....pombe iliyolala endeleeni nayo sie tunakula vitu vya thamani ndefuKawaida hata waisrael wamepelekwa kuimba kwaya huko mbinguni
Niambie unamjua mkubwa wa hayo makundi mpaka leo ?Mkuranga na kibiti ni chokochoko za Mmarekani?!
Haluna vitu mtakula huko, malipo yenu ni kuimba imba huko mbinguni, yaani mbinguni mtaishi kwa shida kuliko dunianiEl comandantee.....uzuri sie tunapenda ule mvinyo vip kama ule muujiza wa kwanza wa yesu .si unauja yakhee.....pombe iliyolala endeleeni nayo sie tunakula vitu vya thamani ndefu
Kuna uzi mwembamba sana unaotenganisha imani hiyo na ugaidiNdugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vijana na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Na vipi uislamu unasemaje kuhusu kuwachukia na kuwabagua kwa kutofanya urafiki na wasio waislamu?Mgemuliza Uislam unasema nini kuwauwa watu wasio na makosa.
Propaganda za Wazungu hizo π
Na Miafrika hasa Mitanzania ikiangalia zile movie kutoka 21 century au Hollywood wanaamini kwamba Waarabu au Waislamu ni Magaidi. Hizo ni propaganda za kijinga sana na Miafrika tulivyo na akili mgando huwa tunaamini. Ifikie wakati akili zetu ziwe zinafanya kazi
sio waislamu wote ni magaidi ila magaidi wote ni waislamPropaganda za Wazungu hizo π
Na Miafrika hasa Mitanzania ikiangalia zile movie kutoka 21 century au Hollywood wanaamini kwamba Waarabu au Waislamu ni Magaidi. Hizo ni propaganda za kijinga sana na Miafrika tulivyo na akili mgando huwa tunaamini. Ifikie wakati akili zetu ziwe zinafanya kazi aisee
Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vijana na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Nieleweshe kidogo lengo/ object za ISIS ni lipi mkuu.Ndio , Hamas uliwasikia wapi nje ya palestina ? wanapigania uhuru wa nchi yao ...Mazayuni walishasema sio rahisi kuwashinda waislamu bila ya intelejensia ....Wanachafu kwa kutengeneza makundi.
Jews ndio walitengeneza kundi la kwanza la kigaidi , hayo makundi ukimuuliza babu yako hayajui ni ya juzi hapa
Mnashindwa kupambana na ugaidi kwa vile hamjui chanzo chake ni nn ? ISIS imeua waislamu wengi syria , iraq ,lebanon kushinda hata idadi ya jamii nyingine .
View attachment 3127733