Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Ina fikirisha saaaana kwa kweli 🤔🤔🤔Muumini anashika bunduki anaua Muumini mwenzake lawama anapewa Marekani.
Huwa najiuliza kwanini Marekan wanashindwa kuunda vikundi vya Wasabato, Wakatoliki, Walutherani, hata vya Walokole akawapa bunduki waue watu?
Kuna udhaifu mahali.