Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Muumini anashika bunduki anaua Muumini mwenzake lawama anapewa Marekani.

Huwa najiuliza kwanini Marekan wanashindwa kuunda vikundi vya Wasabato, Wakatoliki, Walutherani, hata vya Walokole akawapa bunduki waue watu?

Kuna udhaifu mahali.
Ina fikirisha saaaana kwa kweli 🤔🤔🤔
 
Una onesha una akili za samaki, ukigeuka tu, umesahau ulichosoma. Au ndiyo shule za kusomea ujinga? Huelewi unachokisoma? Au ni uongo wa ukondoo tu unakusumbuwa.

Hayo ni maneno ya Trump tena kupitia CNN. Jikumbushe:

Here’s how ISIS was really founded​

By Jason Hanna, CNN
4 minute read
Updated 2:05 PM EDT, Sat August 13, 2016...

https://edition.cnn.com/2016/08/12/middleeast/here-is-how-isis-began/index.html
Faiza umesoma vizuri hii habari na ukaielewa?
 
Kawaida hata waisrael wamepelekwa kuimba kwaya huko mbinguni
El comandantee.....uzuri sie tunapenda ule mvinyo vip kama ule muujiza wa kwanza wa yesu .si unauja yakhee.....pombe iliyolala endeleeni nayo sie tunakula vitu vya thamani ndefu
 
Mkuranga na kibiti ni chokochoko za Mmarekani?!
Niambie unamjua mkubwa wa hayo makundi mpaka leo ?

Hamas na Hezbollar wakuu wake wanajulikana , hilo ISIS unamjua mkubwa wake ?

Au uletewe members ambao wana majina ya taofauti na ya waislamu .
 
El comandantee.....uzuri sie tunapenda ule mvinyo vip kama ule muujiza wa kwanza wa yesu .si unauja yakhee.....pombe iliyolala endeleeni nayo sie tunakula vitu vya thamani ndefu
Haluna vitu mtakula huko, malipo yenu ni kuimba imba huko mbinguni, yaani mbinguni mtaishi kwa shida kuliko duniani
 
Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vijana na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.
Kuna uzi mwembamba sana unaotenganisha imani hiyo na ugaidi
 
Propaganda za Wazungu hizo 😅
Na Miafrika hasa Mitanzania ikiangalia zile movie kutoka 21 century au Hollywood wanaamini kwamba Waarabu au Waislamu ni Magaidi. Hizo ni propaganda za kijinga sana na Miafrika tulivyo na akili mgando huwa tunaamini. Ifikie wakati akili zetu ziwe zinafanya kazi

Propaganda za Wazungu hizo 😅
Na Miafrika hasa Mitanzania ikiangalia zile movie kutoka 21 century au Hollywood wanaamini kwamba Waarabu au Waislamu ni Magaidi. Hizo ni propaganda za kijinga sana na Miafrika tulivyo na akili mgando huwa tunaamini. Ifikie wakati akili zetu ziwe zinafanya kazi aisee
sio waislamu wote ni magaidi ila magaidi wote ni waislam
 
Ndugu zangu Waislam ifike wakati tukatae hawa wahuni (magaidi) wasitumie uslam kutekeleza upuuzi wao, vijana na watoto wetu wanatumikishwa kwa malengo ta watu wachache wanaojificha kwenye mgongo wa dini! Sisi ndo tuwe wakwanza kupiga vita ugaidi ili magaidi waone katika uislam siyo sehemu salama tena kwao kujificha.

Bro, mabikira 12? Uache kabisa!!! Hapana aisee
 
Ndio , Hamas uliwasikia wapi nje ya palestina ? wanapigania uhuru wa nchi yao ...Mazayuni walishasema sio rahisi kuwashinda waislamu bila ya intelejensia ....Wanachafu kwa kutengeneza makundi.

Jews ndio walitengeneza kundi la kwanza la kigaidi , hayo makundi ukimuuliza babu yako hayajui ni ya juzi hapa

Mnashindwa kupambana na ugaidi kwa vile hamjui chanzo chake ni nn ? ISIS imeua waislamu wengi syria , iraq ,lebanon kushinda hata idadi ya jamii nyingine .

View attachment 3127733
Nieleweshe kidogo lengo/ object za ISIS ni lipi mkuu.
 
Back
Top Bottom