Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nieleweshe kidogo lengo/ object za ISIS ni lipi mkuu.
Dhumuni la ISIS ni katika mpango wa utawala wa kiduniani , kugombanisha watu ili mtu fulani achukiwe ....Kumbuka hata Mandela aliitwa gaidi mpaka mwaka 2008 .
ISIS ilikuwa ni trap ya kuwakamata wale waislamu wenye msimamo kwa kuwajaza upepo , yaani ushawishiwa kumbe unaenda kukamatwa ...Hao waislamu walikuwa ni kikwazo kwa watu fulani , sitakueleza sana ila mazayuni ndio wana mipango mikubwa ya siri hata ishu ya september 11 kuna ukakasi inawezekana Osama alibambikiwa .
ISIS hawapigani na Israel , hawana kiongozi mmoja ukisema AL qaida basi ni OSAMA ,ISIS hawan alama zinazowaonesha wanafanya ibada , ISIS wana regional offices zinafanya kuajiri watu tena kila bara ....Hivi mtandao ufikie huko hapo USA na UN washindwe kuwazuia?
ISIS ni miongoni mwa wakristo na waislamu , hata ukiingia youtube zipo documentaries ..la mwisho , viongozi wa mwanzo wa ISIS ni waarabu waliozaliwa na kuishi nje ya mashirikia ya kati wakiwa wanatokea Europe au America, hata Osama alishakuwa sehemu ya USA , mwingine Abou mansoor AL-Amrik ana jina jingine Omari Shafik Hammani...wote hao wameisha America tena USA .