Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

Nieleweshe kidogo lengo/ object za ISIS ni lipi mkuu.
Dhumuni la ISIS ni katika mpango wa utawala wa kiduniani , kugombanisha watu ili mtu fulani achukiwe ....Kumbuka hata Mandela aliitwa gaidi mpaka mwaka 2008 .


ISIS ilikuwa ni trap ya kuwakamata wale waislamu wenye msimamo kwa kuwajaza upepo , yaani ushawishiwa kumbe unaenda kukamatwa ...Hao waislamu walikuwa ni kikwazo kwa watu fulani , sitakueleza sana ila mazayuni ndio wana mipango mikubwa ya siri hata ishu ya september 11 kuna ukakasi inawezekana Osama alibambikiwa .


ISIS hawapigani na Israel , hawana kiongozi mmoja ukisema AL qaida basi ni OSAMA ,ISIS hawan alama zinazowaonesha wanafanya ibada , ISIS wana regional offices zinafanya kuajiri watu tena kila bara ....Hivi mtandao ufikie huko hapo USA na UN washindwe kuwazuia?

ISIS ni miongoni mwa wakristo na waislamu , hata ukiingia youtube zipo documentaries ..la mwisho , viongozi wa mwanzo wa ISIS ni waarabu waliozaliwa na kuishi nje ya mashirikia ya kati wakiwa wanatokea Europe au America, hata Osama alishakuwa sehemu ya USA , mwingine Abou mansoor AL-Amrik ana jina jingine Omari Shafik Hammani...wote hao wameisha America tena USA .​
 
Kuna subtitle mwanzo mwisho

Wanafuata mkumbo katika ugaidi, Puntland Somalia kipande cha eneo la Somalia Kubwa. Ndugu na taifa muone imani inavyoweza kuvuruga akili na uwezo wa kufikiri.


View: https://m.youtube.com/watch?v=RUZgWvNqQUQ
1729242927510.png
 
amemtaja tu mama yake jinalake,kwamba mama ake alijimwagia uji vuguvugu akasukwa yeye

Kwann ,hajamtaja baba ake mwenye koozi lake(DNA)
 
Muumini anashika bunduki anaua Muumini mwenzake lawama anapewa Marekani.

Huwa najiuliza kwanini Marekan wanashindwa kuunda vikundi vya Wasabato, Wakatoliki, Walutherani, hata vya Walokole akawapa bunduki waue watu?

Kuna udhaifu mahali.
wamarekani wanaangalia dini gani ina wapuuzi wengi ni extremelly ndio wanaenda kuundia kundi la kijahili huko. Hao uliowataja wanajielewa hawakubali upuuzi wa marekani
 
Mkiambiwa ukweli mnalalamika eti dini inaonewa, ila vita vita vyote hivi kuanzia Somalia mpaka Syria, zote hizo choko choko za hiyo dini.
 
Mie muimbaji ami nataka sapoti yako ami..........sikiliza basi traki nipate vyuu nyingi au unataka tukasake vyuuwazi kwa pididi jameni
Wewe kaimbe tu yaani niache wanawake niangaike na kelele
 
Back
Top Bottom