Mubashara: Maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM

Mubashara: Maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM

India kuna ufukara kuliko Tanzania hadi watu wanalala majalalani lakin bado haiondoi ukweli kuwa wana matajiri wa viwango vya Bakhresa zaid ya elf 6

Umasikini wa baadhi ya watu hauondoi ukweli kuwa kuna wengine wametoboa

Iringa imejaa ufukara wewe unadanganya nini hapa
 
India kuna ufukara kuliko Tanzania hadi watu wanalala majalalani lakin bado haiondoi ukweli kuwa wana matajiri wa viwango vya Bakhresa zaid ya elf 6

Umasikini wa baadhi ya watu hauondoi ukweli kuwa kuna wengine wametoboa
Maendeleo ya India yanafanana na ya Tz?
 
Yapo maeneo yanafanana na maeneo hayafanani

Mf.

Madaraja ya kwny Maji tunafanana ila tunafotautiana idadi

Umaskini tunafanana ila hatujafikia kulala kwny Majalala familia nzima kama wao

Ukosefu wa ajira sie tupo 9.3% wao wako 14.7%

Maendeleo ya India yanafanana na ya Tz?
 
Yapo maeneo yanafanana na maeneo hayafanani

Mf.

Madaraja ya kwny Maji tunafanana ila tunafotautiana idadi

Umaskini tunafanana ila hatujafikia kulala kwny Majalala familia nzima kama wao
Kaa kimya wewe Bashite hujui kitu
 
Mambo ya sherehe za CCM katangazie huko kwenye magazeti na tv za CCM, huku mitandaoni ni kwa vijana, na CCM ni chama cha wazee hivyo ni ngumu kupata mwitikio chanya humu.
 
Nimeogopa sana kukosekana watu waofuatilia topic za CCM kufikisha miaka 45 au CCM kukosekana wachangiaji utoajo kadi kwa mtandao. Ni ishara ya kutotakiwa au nstural death ya CCM. TISS jipangeni kuinusuru nchi. I am serious.
 
Baadhi ya Nukuu za Ndg. Samia Suluhu Hassan Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 45 ya Kuzaliwa kwa CCM uwanja wa Karume - Musoma, Mara leo tarehe 05 Februari 2022.

IMG-20220205-WA0177.jpg
IMG-20220205-WA0178.jpg
IMG-20220205-WA0179.jpg
IMG-20220205-WA0180.jpg
IMG-20220205-WA0186.jpg
IMG-20220205-WA0187.jpg
IMG-20220205-WA0190.jpg
IMG-20220205-WA0191.jpg
 
Huu ndo utamu wa CCM sherehe yao imefuatiliwa na CHADEMA zaidi yao. Leo nilikuwepo kwenye kijiwe cha wanaCHADEMA wanajadili sherehe za CCM huku wakilalamika zao zilivyopita kimyakimya na bajeti ya sherehe ilitumika kumnunulia keki mwenyekiti na kumpelekea mahakamani
 
Back
Top Bottom