Iringa imejaa ufukara wewe unadanganya nini hapa
Acha ujinga we kibwengoNa hatuna cha kuifanya CCM
Maendeleo ya India yanafanana na ya Tz?India kuna ufukara kuliko Tanzania hadi watu wanalala majalalani lakin bado haiondoi ukweli kuwa wana matajiri wa viwango vya Bakhresa zaid ya elf 6
Umasikini wa baadhi ya watu hauondoi ukweli kuwa kuna wengine wametoboa
Maendeleo ya India yanafanana na ya Tz?
Kaa kimya wewe Bashite hujui kituYapo maeneo yanafanana na maeneo hayafanani
Mf.
Madaraja ya kwny Maji tunafanana ila tunafotautiana idadi
Umaskini tunafanana ila hatujafikia kulala kwny Majalala familia nzima kama wao
Kaa kimya wewe Bashite hujui kitu
Tulia huko dada anguSijui kitu wakati najua kuandika hadi tuna chart?
Tulia huko dada angu