[MUCCoBS],Waliobadili programme/couse kukosa mkopo chuo cha MUCCoBS ,

[MUCCoBS],Waliobadili programme/couse kukosa mkopo chuo cha MUCCoBS ,

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Taarifa niliyoipata toka kwenye chanzo cha kuaminika katika chuo cha MUCCoBS ni kwamba wanafunzi wote waliobadili programme/course ,walizopangiwa na TCU wote watakosa mkopo ! mfano kama ulichaguliwa first year course ya PROCUREMENT &SUPPLY ukabadili ukaenda ACCOUNTING&FINANCE ,basi utakosa mkopo!! chanzo changu cha habari kiliendelea kunieleza kwamba wanafunzi wote ambao walipata supplimentary (supp) nao pia mkopo wao unaweza usiwepo kabisa,, chanzo changu cha habari kimesema sababu ni kwamba kuna uzembe kwenye chuo cha MUCCoBS hawakupeleka majina mapema ya wanafunzi waliobadili course/programme wakati wapo first year.
 
chanzo changu cha habari kimenipa mpaka orodha ya majina ya wanafunzi ambao walionyimwa mkopo kutokana na uzembe wa chuo ,
 
Nyie nao huwa mnapewa mikopo kumbe!basi serikali ina pesa za mchezo..
 
Nyie nao huwa mnapewa mikopo kumbe!basi serikali in pesa za mchezo..

naungana na wewe perry,mabilioni ya JK yanapotea kila mwaka kutokana uzembe wa vyuo vyetu vya kata,naomba NACTAE wakifute hiki chuo kwa sababu sijaona faida ya products zao kitaani
 
naungana na wewe perry,mabilioni ya JK yanapotea kila mwaka kutokana uzembe wa vyuo vyetu vya kata,naomba NACTAE wakifute hiki chuo kwa sababu sijaona faida ya products zao kitaani

Rudi chekechea hujui kuandika jinga wewe
 
naungana na wewe perry,mabilioni ya JK yanapotea kila mwaka kutokana uzembe wa vyuo vyetu vya kata,naomba NACTAE wakifute hiki chuo kwa sababu sijaona faida ya products zao kitaani

Dah wewe kweli kilaza eti NACTAE?? Hahaha division three mnatabu sanaa! ,chuo cha MUCCoBS hakipo chini ya NACTE kipo chini ya SUA&TCU mpaka hapa nimeamini wewe ni kilaza wa kila kitu...
 
Mpaka sasa wanafunzi wa MUCCoBS ambao majina yao hayajaletwa wanawaza ni jinsi gani wataweza kukabiliana na hii hali ya kushangaza na ya kizembe, nimeongea na muhitimu wa mwaka wa tatu ambaye yupo hapa MUCCoBS kujiandaa na mitihani ya PSPTB akaniambia kwamba tangu aanze mwaka wa kwanza hajawahi kuona kitu kama hiki cha kizembe kwenye hiki chuo
 
Dah wewe kweli kilaza eti NACTAE?? Hahaha division three mnatabu sanaa! ,chuo cha MUCCoBS hakipo chini ya NACTE kipo chini ya SUA&TCU mpaka hapa nimeamini wewe ni kilaza wa kila kitu...

dogo boya sana,div 3 yako ndo imekupeleka chuo cha warembo tz,karibu sana UDSM
 
Daaagh....kwa muda mrefu nimelitema hili jukwaa kwa mambo kama haya.....leo narudi thread ya kwanza tu upuuzi ule ule.....mbona mtoa post katoa taarifa nzuri tu nyie wana udsm vp?
 
Daaagh....kwa muda mrefu nimelitema hili jukwaa kwa mambo kama haya.....leo narudi thread ya kwanza tu upuuzi ule ule.....mbona mtoa post katoa taarifa nzuri tu nyie wana udsm vp?

Mkuu kuna uzembe sana hapa MUCCoBS yani watu wanahasira sana
 
Nenda taboraboys kaulize dogo aliyekuwa anakimbiza ni nan

kama ulikuwa unakimbiza tabora boys kwanini umeshindwa kuchaguliwa UDSM,chuo bora sana barani Africa na ulimwenguni pia,kama siyo kuchezea madudu paper la mwisho
 
Watu wengine bwana, ulimbuken umewajaa, inamaana hujui kuwa kuapply udsm ni uamuz wa mtu? muccobs ni kwetu tunaojielewa
 
Back
Top Bottom