Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Taarifa niliyoipata toka kwenye chanzo cha kuaminika katika chuo cha MUCCoBS ni kwamba wanafunzi wote waliobadili programme/course ,walizopangiwa na TCU wote watakosa mkopo ! mfano kama ulichaguliwa first year course ya PROCUREMENT &SUPPLY ukabadili ukaenda ACCOUNTING&FINANCE ,basi utakosa mkopo!! chanzo changu cha habari kiliendelea kunieleza kwamba wanafunzi wote ambao walipata supplimentary (supp) nao pia mkopo wao unaweza usiwepo kabisa,, chanzo changu cha habari kimesema sababu ni kwamba kuna uzembe kwenye chuo cha MUCCoBS hawakupeleka majina mapema ya wanafunzi waliobadili course/programme wakati wapo first year.