Much respect to Mzizi Mkavu and all JF Doctors

Much respect to Mzizi Mkavu and all JF Doctors

Hongera mamii, Mungu akukuzie
Mie husema kila siku, JF ni zaidi ya mtandao wa kijamii
Hongereni ma-founder wa Jf

Asante sn bibie...nami nazidi kutoa pongezi kwa waanzilishi wa huu mtandao.
 
Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao na majibu yao kuhusiana na afya ya uzazi.
I was pregnant, na kwa miongozo yao; I thank God nilifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Niliumwa uchungu for almost 2hrs tu.
God bless you dear doctors, muendelee na moyo huohuo wa kujitoa kusaidia wanajukwaa!

Jf ni zaidi ya hospital za rufaa
 
Back
Top Bottom