Havoc
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 242
- 166
Duu!!! Sijawahi kusikia hiyo!!!Kabila zingine za kule kanda ya ziwa wanaamini kuwa akitoka tu hospitali lazima mzee aingie kwake ili kumfungulia maziwa mtoto. Yaani siku hiyo hiyo alipojifungua. Kama yupo mwenyeji wa huko mkweli aje anipinge