Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
Aiseee, Maeneo ya pwani kuna msemo wanasema USIMBEMENDE mtoto,je inahusiana VP na sex ktk ujauzto?
Cc : anae faham
Cc : anae faham
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini kubemenda ni mtoto kukosa lishe, hata kama hamfanyi tendo kama lishe ni duni huyo mtoto hatokua ipasavyo.Aiseee, Maeneo ya pwani kuna msemo wanasema USIMBEMENDE mtoto,je inahusiana VP na sex ktk ujauzto?
Cc : anae faham
Havihusiani..Aiseee, Maeneo ya pwani kuna msemo wanasema USIMBEMENDE mtoto,je inahusiana VP na sex ktk ujauzto?
Cc : anae faham
ndio maana watoto wengi wanazaliwa vichwa vikiwa vimebonyea...Muda wote unafaa hadi some hours kabla hujaenda kujifungua
nimekuja speed nilifikiri umeweka some points kumbe unauliza?
teh teh
Vipi baada ya kujifungua,ulisubiri kwa muda gani???Me nlitafuna had wiki moja kabla...na mtoto akatoka saaafi kabsa!!
No research no right to speak, mkuu mtoto kafichwa sehemu spesho sana hawez dhurika wkt wa sexndio maana watoto wengi wanazaliwa vichwa vikiwa vimebonyea...
AsanteNaamini kubemenda ni mtoto kukosa lishe, hata kama hamfanyi tendo kama lishe ni duni huyo mtoto hatokua ipasavyo.
Maserati asanteHavihusiani..
Watoto waliobemendwa wako Tandale, Vingunguti, Mbagala, Buguruni etc. Mama Na mtoto hawapati chakula Bora wanapata unyafuzi wanasema wamebemendwa. Mbona watoto wa Masaki hawabemendeki?Aiseee, Maeneo ya pwani kuna msemo wanasema USIMBEMENDE mtoto,je inahusiana VP na sex ktk ujauzto?
Cc : anae faham
Hahahaaaa...siku kama arobain hiv!!Vipi baada ya kujifungua,ulisubiri kwa muda gani???
Ukiacha utakua bwege... Wakati huu ndio wakati pekee papuchi ibakua tamu na yamoto balaaaaaa.... [HASHTAG]#MeLoveSomeHotPapuchiz[/HASHTAG]...WanaJF napata tafasiri nyingi kuhusu ni lini mama mjamzito anatakiwa asiwe karibu kimapenzi (kujamiiana) na mumewe kwa ajili ya kutunza kiumbe vizuri pia kuepuka matatizo eidha kwa mama au kwa mtoto.
Naweka uzi huu kuondoa utata kwenye matatizo na changamoto ambazo anaweza zipata mama au mtoto endapo wakiendelea kuduu hadi muda usiofaa kuduu. Naomba kujua ni mda gani haufaiii......
Anaanzaje kukataaa?? Akikutalia ujue mtoto sio wako joh.. Namuachia baba mtoto cha mwisho... [emoji57]Upo sawa mkuu ila kama hataki usimlazimishe
WanaJF napata tafasiri nyingi kuhusu ni lini mama mjamzito anatakiwa asiwe karibu kimapenzi (kujamiiana) na mumewe kwa ajili ya kutunza kiumbe vizuri pia kuepuka matatizo eidha kwa mama au kwa mtoto.
Naweka uzi huu kuondoa utata kwenye matatizo na changamoto ambazo anaweza zipata mama au mtoto endapo wakiendelea kuduu hadi muda usiofaa kuduu. Naomba kujua ni mda gani haufaiii......
Love you... [HASHTAG]#WanatuogopeshaTu[/HASHTAG] tusipige papuchiNo research no right to speak, mkuu mtoto kafichwa sehemu spesho sana hawez dhurika wkt wa sex
Acha kuogopesha watu
Maana yako ni kuwa ukuni unambonyeza kichwa?ndio maana watoto wengi wanazaliwa vichwa vikiwa vimebonyea...
Hicho kipindi huwa kinakuwa kigumu sana,kuvumilia 40 daysHahahaaaa...siku kama arobain hiv!!
Love you... [HASHTAG]#WanatuogopeshaTu[/HASHTAG] tusipige papuchi