Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

Aiseee, Maeneo ya pwani kuna msemo wanasema USIMBEMENDE mtoto,je inahusiana VP na sex ktk ujauzto?

Cc : anae faham
 
Naamini kubemenda ni mtoto kukosa lishe, hata kama hamfanyi tendo kama lishe ni duni huyo mtoto hatokua ipasavyo.
 
WanaJF napata tafasiri nyingi kuhusu ni lini mama mjamzito anatakiwa asiwe karibu kimapenzi (kujamiiana) na mumewe kwa ajili ya kutunza kiumbe vizuri pia kuepuka matatizo eidha kwa mama au kwa mtoto.

Naweka uzi huu kuondoa utata kwenye matatizo na changamoto ambazo anaweza zipata mama au mtoto endapo wakiendelea kuduu hadi muda usiofaa kuduu. Naomba kujua ni mda gani haufaiii......
Ukiacha utakua bwege... Wakati huu ndio wakati pekee papuchi ibakua tamu na yamoto balaaaaaa.... [HASHTAG]#MeLoveSomeHotPapuchiz[/HASHTAG]...
 
WanaJF napata tafasiri nyingi kuhusu ni lini mama mjamzito anatakiwa asiwe karibu kimapenzi (kujamiiana) na mumewe kwa ajili ya kutunza kiumbe vizuri pia kuepuka matatizo eidha kwa mama au kwa mtoto.

Naweka uzi huu kuondoa utata kwenye matatizo na changamoto ambazo anaweza zipata mama au mtoto endapo wakiendelea kuduu hadi muda usiofaa kuduu. Naomba kujua ni mda gani haufaiii......

Hadi anapoingia Chumba cha Upasuaji Kuzalishwa.
 
Back
Top Bottom