Duu!!! Sijawahi kusikia hiyo!!!Kabila zingine za kule kanda ya ziwa wanaamini kuwa akitoka tu hospitali lazima mzee aingie kwake ili kumfungulia maziwa mtoto. Yaani siku hiyo hiyo alipojifungua. Kama yupo mwenyeji wa huko mkweli aje anipinge
nimefurahi tu mkuu, ujue hapa tunajifunza usije ukanichukia bureI have two children, not bilogical father (kwamba nimepiga mimba nikasepa)!! Totally responsible father, natungisha mimba nalea mpaka anajifungua na sasa nalea watoto!! Japo nipo mbali kwa majukumu ya maisha lakini nipo nao close sana!!
Uliza kingine!!
Uko sahihiNo research no right to speak, mkuu mtoto kafichwa sehemu spesho sana hawez dhurika wkt wa sex
Acha kuogopesha watu
thanks but...Uko sahihi
Kama hata tatizo la kiafya na anakuridhia, unaweza kushiriki nae hadi mwisho wa ujauzito. Staili tu ndio inabadilika!!!Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
Hadi kielewekeBinafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
hahahahah NB yako imenikosha sana mpendwakuchepuka ni hatari kwa afya kama UKIMWI
ukikamatwa ndo shida but usipokamatwa ni faida
NB. kukamatwa imegundulika ni rahisi zaidi ya kutokamatwa
safi sanaa!!usitufundishe uoga mkuu
kama wewe bado kwenye analogia endelea lakini sisi hatutafata ushauri wako kamwe
loooh kumbe kuna viumbe bado wanaamini kuwasha moto kwa mawe ndo vizuri kuliko kutumia kiberiti?
utabaki hapo
HAHAHAHAHAH chukua hatua mapema,hahahahah NB yako imenikosha sana mpendwa
baeleze baelezesafi sanaa!!
HAHAHAHAHAH chukua hatua mapema,
NB: bora kinga kuliko tiba
hahahaha...kabisaabaeleze baeleze
mwanzoni au mwishoni mzee? kama ndo mwanzoni na unamhitaji uyo mtoto, pumzika hadi miezi sita ivi. kama uzalendo ukikushinda, kifo cha mende marufuku, chumba mboga marufuku, ila alalie ubavu mbele yako akuputukie makalio wewe ukiwa nyuma abane makalio afu wewe fanya sio kwa starehe bali fanya ujojoe uondoke hamu ikutoke tu basi hadi mimba iwe imekomaa. kwa usalama hata baada ya miezi 6 tendo salama huwa ni hilo. ila ukileta ukamanda na falsafa zako utamaliza asubuhi utakuta mtu vidamu minamdondoka atapigwa bedrest miezi minne hautaamini. na kwa hawa wanawake wa dar ambao vizavi vimelegea wamechoropoa mimba rundo na wewe unamuoa hata hajakwambia, akitikisika kidogo tu imechoropoka. the more miscarriage anapata the more risk kupata matatizo ya kizazi including cancer, kuoza, kutopata mtoto tena. etc.Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.