Wakuu habari za muda huu,
Naomba tusaidiane kujibu hili swali,na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.
Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani..??
Muda ambao pesa zinaishaWakuu habari za muda huu,
Naomba tusaidiane kujibu hili swali,na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.
Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani..??
Mkuu muda sahihi ni pale unapohisi funda moja Tu la ziada ukiongeza litakuumbua.hapo hata kama bia yako bado mpya iache,sepa