Muda gani ni sahihi kuondoka bar?

Muda gani ni sahihi kuondoka bar?

Podcast

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
767
Reaction score
901
Wakuu habari za muda huu,

Naomba tusaidiane kujibu hili swali, na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.

Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani?
 
Inategemeana na mfuko ila mara nyingi kwangu Mimi naingia bar mida ya saa moja usiku natoka saa 6 bar ikifungwa kama ni weekend au sikuku kama leo naingia saa 10 jioni kama leo nitakuwa mbagala langi 3 bar za hapo itakayo kuwa inachangamka na mziki mzuri ndio watakula hela yangu kuna bar za mikoani zina kesha hadi raha
 
Pesa uliyopanga ichoma ikikata....au ukishang'oa mzigo..inategemea na lengo..karibu mbagala kuu hapa tuendelee lipia kodi
 
Mkuu muda sahihi ni pale unapohisi funda moja Tu la ziada ukiongeza litakuumbua.hapo hata kama bia yako bado mpya iache,sepa
Wakuu habari za muda huu,

Naomba tusaidiane kujibu hili swali,na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.

Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani..??
 
Muda ambao pesa zinaisha
 
MPAKA HELA ZIISHE
MPAKA ASUBUHI
MPAKA WAFUNGE
MPAKA KUANZA KUONA KILA BAR MAID NI MZURI KAMA RIHANNA AU BEYONCE
 
Mimi sinaga muda maalumu aisee maana kazi yangu haina muda maalumu wa kurudi nyumbani au kuondoka nyumbani, kwa hyo naitumia vzr sana fursa hiyo kukesha baa na kung'oa mademu wakali kadri niwezavyo
 
Hili nalo NENO haki hahahahaha..Ukweli mchungu
Mkuu muda sahihi ni pale unapohisi funda moja Tu la ziada ukiongeza litakuumbua.hapo hata kama bia yako bado mpya iache,sepa
 
Back
Top Bottom