Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Oct 16, 2021 #1 MUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza. Ameifanyia Tanzania makubwa. JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili. Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua. Sina cha kuwalipa. MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
MUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza. Ameifanyia Tanzania makubwa. JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili. Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua. Sina cha kuwalipa. MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Oct 16, 2021 #2 Hongera sana mzee, siku nikija Dar nitakuja kukutembela hapo nyumbani natumai kuondoka na mengi ambayo sijawahi kuyaona katika machapisho yako.
Hongera sana mzee, siku nikija Dar nitakuja kukutembela hapo nyumbani natumai kuondoka na mengi ambayo sijawahi kuyaona katika machapisho yako.
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Oct 16, 2021 #3 Hongera sana Mohamed Said Kwakweli unastahili kabisa hiyo tuzo mzee wetu. Mungu aendelee kukutunza uendelee kutuhabarisha na kutufunza Heshma kwa Maxence Melo
Hongera sana Mohamed Said Kwakweli unastahili kabisa hiyo tuzo mzee wetu. Mungu aendelee kukutunza uendelee kutuhabarisha na kutufunza Heshma kwa Maxence Melo
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Oct 16, 2021 #4 Hongera sana kwa kuyaweka maarifa mengi uliyojaaliwa katika maandiko... Hivyo maarifa uliyojaaliwa yataendelea kuishi vizazi hata vizazi...
Hongera sana kwa kuyaweka maarifa mengi uliyojaaliwa katika maandiko... Hivyo maarifa uliyojaaliwa yataendelea kuishi vizazi hata vizazi...
Richard JF-Expert Member Joined Oct 23, 2006 Posts 15,692 Reaction score 23,038 Oct 16, 2021 #5 Hongera sana mzee Mohammed Said kwa kupata tuzo. Pia hongera kwa makala zako nyingi za kutukumbusha masuala ya historia ya nchi yetu. Pia kwa mkuu Max, hongera kwa kufikiria kitu hichi cha tuzo ni muhimu kwa wanostahiki.
Hongera sana mzee Mohammed Said kwa kupata tuzo. Pia hongera kwa makala zako nyingi za kutukumbusha masuala ya historia ya nchi yetu. Pia kwa mkuu Max, hongera kwa kufikiria kitu hichi cha tuzo ni muhimu kwa wanostahiki.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Oct 16, 2021 #6 Hongera mno mkuu, na kongole nyingi kwa Mkurugenzi.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Oct 16, 2021 #7 Hongera sana mzee Mohamed Said, umeacha alama ya kipekee kabisa
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Oct 16, 2021 #8 Hongera zako nyingi sana. Kitabu chako cha historia ya TANU na Tanganyika kinatoka lini?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Oct 16, 2021 #9 Hongera sana Baba Mzazi, Kiongozi, Babu, rafiki na kila aina ya kila jina na sifa. Mungu akupe heri kwa kila jambo. Natamani Profesa Tibaijuka nae arudi, Mzee Omary Nundu yeye hayupo tena humu
Hongera sana Baba Mzazi, Kiongozi, Babu, rafiki na kila aina ya kila jina na sifa. Mungu akupe heri kwa kila jambo. Natamani Profesa Tibaijuka nae arudi, Mzee Omary Nundu yeye hayupo tena humu
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Oct 16, 2021 #10 Maxence Melo big up sana.. Mzee Mohammed we ni hazina ya Taifa.. Mungu akulinde sana
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Oct 16, 2021 #11 Hongera mnoo mzee
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Oct 16, 2021 #12 Hongera sana baba Mungu azidi kukupa nguvu tuweze chukua mengi kwako
MVB Jr JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 489 Reaction score 1,553 Oct 16, 2021 #13 Hongera Mzee kwa kuweka alama.
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Oct 17, 2021 Thread starter #14 The Boss said: Maxence Melo big up sana.. Mzee Mohammed we ni hazina ya Taifa.. Mungu akulinde sana Click to expand... The Boss, Amin.
The Boss said: Maxence Melo big up sana.. Mzee Mohammed we ni hazina ya Taifa.. Mungu akulinde sana Click to expand... The Boss, Amin.
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,136 Reaction score 32,268 Oct 17, 2021 #15 Hongera sana mkuu
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Oct 17, 2021 #16 Hongera
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Oct 17, 2021 #17 Hongera sana Mzee Mohamed Umejitolea sana muda wako kufundisha historia ya Tanzania Keep up the good work
Hongera sana Mzee Mohamed Umejitolea sana muda wako kufundisha historia ya Tanzania Keep up the good work
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Oct 17, 2021 #18 Safi sana kijana wa zamani.ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Oct 17, 2021 #19 Unastahili, ila unastahili zaidi watawala nao wakuone watambue mchango wako
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 17, 2021 #20 Inapendeza na hongera sana...