, tatizo lako ni kutaka kila kitu kiwe na mtazamo wa kiislam yani mawazo yako hayawazi nje ya uislam
Obe...Mohamed Said,
Hongera sana kwa kupata zawadi ya tuzo na simu! Hakika ulistahili kupata tuzo hii muda mrefu sana kutokana na mchango wako katika JF na Taifa kwa ujumla, kupitia makala zako za Historia ya Nchi hii![emoji120]
Hongera kwako pia Maxence Mello kwa kuutambua mchango wa Mzee wetu huyu! Barikiwa sana![emoji109]
Dal...Yule kafiri hakuwa mtu mzuri,,mambo mengi yamefichwa.
Kaya...hongera sana sheikh wangu, japo huwa sikubariani na baadhi ya hoja zako ila nakukubali sana uwezo wako wakuchambua mambo, utunzaji wa kumbukumbu na consistency, wewe ni kati ya hazina muhimu hapa nchini, tatizo lako ni kutaka kila kitu kiwe na mtazamo wa kiislam yani mawazo yako hayawazi nje ya uislam
Kibu...Hongera sana mzee wetu
[emoji120]Obe...
Ahsante sana.
Pole ndugu yangu Dalmine.Dal...
Lugha kali sana kaka haifai.
Unaweza ukaeleza hayo yote na zaidi kwa utulivu na ukaeleweka.
Hongera sana mzee.MUDA HAUTOSHI NA MAXENCE MELO WA JF
Leo nyumbani kwangu nimempokea kijana ambae siwezi kuwa na maneno ya kutosha kumweleza.
Ameifanyia Tanzania makubwa.
JF imenifanya mimi nifahamike kwa kusomwa ulimwengu mzima walipo wazungumzaji wa Kiswahili.
Katika kunisoma huku ndiko wengi wakaijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyka ambayo si wengi walikuwa wanaijua.
Sina cha kuwalipa.
MM amefika kwangu kunikabidhi cheti changu na zawadi nzuri sana ya simu.
View attachment 1977049
shukrani sheikh wangu, napata mafunzo mengi toka kwako, Mungu akutunze mzee wangu natamani siku moja nipate picha na wewe nije kuonesha wanangu siku moja.Kaya...
Mimi nimetafiti mchango wa Uislam na Waislam katika ukoloni.
Kwa hiyo hili ndilo somo langu.
Unaposema kuwa nikae nje ya Uislam inakuwa niandike mengine nje ya Uislam inakuwa hapakuwa na sababu ya mimi kufanya utafiti ule.
Sababu ya kuchukua somo hili ni kuwa niligundua kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika yote imefutwa hivyo nikataka kujua nini kilisababisha hili.
Ndiyo sasa tuko hapa.
Naamini umenufaika na utafiti wangu.
King...Hongera sana mzee.
Kaya...shukrani sheikh wangu, napata mafunzo mengi toka kwako, Mungu akutunze mzee wangu natamani siku moja nipate picha na wewe nije kuonesha wanangu siku moja.
Fukara,Hongera SANA Mzee@Mohamed Said