Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Ni kweli mkuuMzee analipendezesha sana jukwaa la historia. Huyu ni hazina kwa taifa letu maana anaifahamu vizuri na kwa undani historia ya nchi yetu tokea kipindi kabla ya harakati za uhuru, wakati wa harakati zenyewe na baada ya hapo.
Unfortunately kuna watoto humu huwa wanamjibu hovyo hovyo na kumkejeli sana. Uzuri ni kuwa mzee ana busara wala huwa ha panic na huwajibu vizuri tu kwa hoja na kistaarabu.
Pongezi nyingi sana mzee wangu Mohamed Said. Wewe ni hazina kubwa kwa taifa letu.