Muda huu kuna Utekaji wa kutisha wa Wanachadema unaendelea nchi nzima, JWTZ sitisheni kampeni na chukueni nchi

Kwa mujibu ya mashuhuda walioko maeneo hayo
Unaambiwa dogo mmoja wamemteka Jana mchana kweupe nyumbani kwao Kakola (Bulyanhulu) dogo ametekwa mbele ya nyumba ya wazazi wake akapiga kelele kwamba anatekwa kuna ndugu zake wakasogea wakatishiwa kwa kuonyeshwa bastola wakarudi nyuma fasta wajomba wakampakia kwenye gari kijana na kuondoka naye speed!
Mpaka kufikia jioni inasemekana wametekwa watu watatu huko
Usiku wananchi wakaandamana lakini wakaishia kutishwa na polisi wenye siraha.
 
Mm nadhani hawa watu wapelekwe milembe
Kwa hyo ukiwa chadema tu hao tayari una kinga na huruhusiwi kukamatwa ukifanya usenge?
 
CCM mtandao ikiongozwa na Kikwete ndiye adui wa nchi hii, swali: jee JWTZ nalo linamgwaya huyu sheitwan JK?
 
Hivi hawa JW mnaona kama vitumbua vya mama Dulla kwamba muda wowote utavikuta kibarazani kwenye sinia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…