PostGE2025 Muda huu wangekua wanapitisha Ma vifaru ,na ma vitisho mengi mengi, nguvu nyingi akili Kisoda. Tutaelewana Dec 9

PostGE2025 Muda huu wangekua wanapitisha Ma vifaru ,na ma vitisho mengi mengi, nguvu nyingi akili Kisoda. Tutaelewana Dec 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hata Kwa Sasa Huku kondo Kuna vifaru na mizinga ya kutosha na hatuelewi zinataka kufanya kazi gani
 
Umesahau mazoezi ya pamoja ..... upumbavu wa ajabu ! Na kauli za kijinga kama kina chalamila na wajinga wenzie
 
Back
Top Bottom