kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Sio lazima nyekundu maana Kuna magari mengine hivi sasa yanatumia atf nyeupeUsibadili hyo oil. Ukitaka kubadili kagua hyo oil kama imeanza kuwa nyeusi. Kwa kawaida inatakiwa iwe nyekundu nyekundu ivi