Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

Hivi hawa wakaka,wazee,wababa wanaotafutwa pm wana nini? Au wao ndio wanawafuata wadada ebu wanipe mbinu maana hiyo ni fursa kabisa naweza kumpata jimama la kuniweka hapa mjini
 
Hivi hawa wakaka,wazee,wababa wanaotafutwa pm wana nini? Au wao ndio wanawafuata wadada ebu wanipe mbinu maana hiyo ni fursa kabisa naweza kumpata jimama la kuniweka hapa mjini
Unataka jimama la mkoa gani mkuu....
 
pm yangu iko sufuri bin sufuri. Karibuni warembo wa JF
 
Lizarazu Leo uje chit chat rafiki yangu [emoji23][emoji23][emoji23].
Sio kila siku mpo kwenye mechi MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…