Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue me na wewe ni mapacha tusio fanana.Umeona sasa?heri tubaki jukwaani ili tukose hizo sababu za kuchomoleana
Wanadanganya Hawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukichat na Mimi tu unaupata.Ukuje pm basi mtakatifu nataka upako wako.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
Huko pm mbona kwangu hawaji [emoji1745]
Hahahaha...Labda hiyo mtakatifu Anne ndiyo inawafanya wadhanie hivyo [emoji12][emoji12][emoji12]
Kuna pm na am itakuwa wewe una am!!!Huko pm mbona kwangu hawaji [emoji1745]
[emoji3526][emoji120][emoji847][emoji7][emoji8]
Lizarazu Leo uje chit chat rafiki yangu [emoji23][emoji23][emoji23].Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.
Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu siku zikiwekwa wazi tuwacheke vya kutosha.
Wengine waliosingle wanakuwa online muda wote tu waone kama kuna kapm katatumwa kimakosa ili apate kukajibu.
Ila kuna PM zingine hata zikiwekwa wazi hazina yale maneno romantic...
Assume PM ya Marianah na Lizarazu zinawekwa jukwaani si watakuwa wanabishana jinsia ipi inahaki kuizidi ingine?
Sifungi.Hewaala...hawa kina Shunie wasikufundishe tu kufunga PM.
Kumbe kuko wazi?[emoji39]Sifungi.
Ila huwa Niko makini Sana[emoji1787].
Ukija bila Salamu nakuona huna adabu[emoji3]
Jina tu linaniogopesha[emoji14]Kumbe kuko wazi?[emoji39]
Naweka trouble zangu chini kwa muda nakuja mtakatifu.
Bulubendi nimekupm kaiprint basi.Siku nikitumiwa pm na mdada
Nita iprint nibandike room
Daah sijawahi hata mara moja 😅
Zaidi zaidi shunie nlmwomba kitabu nduuki
Daah haya maisha yana madaraja sana