Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

Muda mwingine unaweza kudhani wanaJF wapo busy na maisha kumbe!!!

Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.

Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu siku zikiwekwa wazi tuwacheke vya kutosha.

Wengine waliosingle wanakuwa online muda wote tu waone kama kuna kapm katatumwa kimakosa ili apate kukajibu.

Ila kuna PM zingine hata zikiwekwa wazi hazina yale maneno romantic...

Assume PM ya Marianah na Lizarazu zinawekwa jukwaani si watakuwa wanabishana jinsia ipi inahaki kuizidi ingine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Marianah
Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao watu wawili uliowataja ukute pm huko mahaba moto moto. Na picha washatumiana wako stage ya WhatsApp chat now.
Eti Shunie anabisha mimi na wewe hatuwezi kufanya kama wao???
 
Hao watu wawili uliowataja ukute pm huko mahaba moto moto. Na picha washatumiana wako stage ya WhatsApp chat now.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marianah
 
Naogopa nitaanza kuandika ukweli kama wewe
Muda huo wa kushika simu tutautoa wapi?

Nikajua tutakuwa tunafanya mengine ya ukweli zaidi ya kupost.
 
Back
Top Bottom