THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Number zina ongea thou Suarez amefunga magoli mengi yasiyo na faidaUkiwa unamwambia Mpenz wako kua Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone unajua Mpira na wewe, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula Nyama za watu kua huyu ndie straika la Boli Alie Twaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina),Na huyu ndie alieinyima Furaha Afrika pale Kwa Madiba Mwaka 2010,[emoji1257]
Sema Mda ndio umemchagua Big Benz ila sio Takwimu.
Upi Mtazamo wako?
View attachment 2665204
Kabeba Treble 2015 na barca kumbukaNumber zina ongea thou Suarez amefunga magoli mengi yasiyo na faida
Suarez ka prove Liverpool, Barca na Atletico Je Benzema?Ni suala la matumizi ya mwalimu, kwangu mimi benzema ni bora zaidi. Japo simbezi suarez sababu hawa ni wachezaji wa daraja moja, ila ikitokea nimchague mmoja basi mie benzema ni bora zaidi.
Mkuu Case Umemaliza.Suares ni Habari nyingine.
Hana Nyota ya UMAARUFU na KUPENDWA kama Benzema.
SUARES NI MALA MBILI ZAIDI YA BENZEMA.
Jamaa anauchungu sana na Team kila aliyokua anachezea jiulize mwamba kashinda kiatu cha ufungaji bora mbele ya Messi na Ronaldo wakiwa Prime kabisaaa.Benzema mzuri ila Suarez habari nyingine.
Suarez anaweza kucheza namba 9,10 na hata 11 na still akakupa output ile ile. Yule jamaa nilimkubali kipindi yupo Liverpool, yule mwamba alikuwa anatisha,tena Liverpool yenyewe ile ya kuungaunga ya Bralenden Rogers,still jamaa akawa anaibeba timu mabegani.
Speeds,IQ,Skills mbele ya goli Suarez ni mtu hatari sana,halafu mpambanaji.
Unamjua Suarez wa livapuli wewe?Benzema ni false nine meanwhile suarez ni natural nine.
Mbingu na ardhi unajaribu kuzilinganisha mkuuu.
Kama KB9 angeamua kusimama kama natural nine pasi angemuacha suarez mbali sana.
Asante kutoa maoni😂Suarez n mnyama saNa ila benz na ana balaa lake
Sema Jamaa hakua na Bahat ya kutwaa Mpira wa dhahabuMnyama suarez aka iyuchaaaa....Benz atasubir sana
Usisahau Ajax Amsterdam alipoanzia soka lake la ulaya kila msimu ALIKUWA anapiga 30-35goals kwa misimu mitatu mfululizo ndio Liverpool wakamsajiliSuarez ka prove Liverpool, Barca na Atletico Je Benzema?
Jamaa pamoja na kufunga alikuwa anawalisha Sterling na Sturride,yaani hawa pale Liverpool walikuwa wanang'aa sababu ya Suarez.Jamaa anauchungu sana na Team kila aliyokua anachezea jiulize mwamba kashinda kiatu cha ufungaji bora mbele ya Messi na Ronaldo wakiwa Prime kabisaaa.
Simpendi huyo Suarez ila hajawahi kuwa Pure 9, Timu zote Kuanzia Ajax, Liverpool, Barca, Atleti etc ni versatile. Liverpool Tulimuona most of 9 Sturidge anacheza kama 9 ye anatokea Pembeni ama Nyuma ya StrikerBenzema ni false nine meanwhile suarez ni natural nine.
Mbingu na ardhi unajaribu kuzilinganisha mkuuu.
Kama KB9 angeamua kusimama kama natural nine pasi angemuacha suarez mbali sana.
Halafu pia Huwezi Ongelea 9 bora bila kumueka LewandoskiUkiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba mwaka 2010 🇺🇾.
Sema muda ndio umemchagua Big Benz ila sio takwimu.
Upi mtazamo wako?
View attachment 2665204