Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

Muache tu jamaa yeye kishabiki na sio uhalisia, suarez alivoenda barca ndo akaanz kucheza zaid kama natural nine ila alivokuwa Liverpool yeye ndo alikua kila kitu pale mbele skills,speed, kufunga na alikua team ya kawaida tu.

Suarez hajapewa heshima yake
Suarez mwamba sana
 
Suarez hakuwa na nyota ya kupendwa huyu baba, ila aliyofanya ni makubwaa, ukitaka kujua uwezo wa Suarez tazama akiwa Liverpool.

Benzema ni mzuri, ila kumfananisha na Suarez,ni kumkosea heshima mwamba wa [emoji1257].

Kwanza pia alivyokua Barca, mbna alikiwashaa ile ile, na benz akiwepo ndani ya league anashuhudia.

Suarez apewe maua yake.
 
Sio Maua tu Suarez Apewe na mchumba wa kisudani
 
Umeandika vitu vya ajabu tu sijui haujawai watazama!! suarez na benzema hawatofautiani uchezaji wao wote wanaweza kucheza kutokea pembeni, wanaweza kucheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho na pia wote wanaweza kucheza striker wa mwisho namba 9.

Mambo ya false nine ni uongo, benzema hajawai kucheza false nine hapo real Madrid, benzema amekuwa akicheza namba 9 yenyewe hapo Madrid.

Suarez anamzidi benzema kila kitu hasa ukatili kwenye box la adui suarez ni king'ang'anizi ni mbishi na msumbufu sana.

Wote wanaweza kutokea pembeni na kufunga hapa wanalingana, ila wote wakiwa kwenye form zao suarez anaanza mbele ya benzema
Ni mbishi ni msumbufu. Hapo umeeleweka vizuri. Nakukumusha Suarez na KB9 ni wazaliwa wa 1987 wote ni strikers wote bado wanacheza soka
 
Mnaona gere kwa kuwa ni Muislam tu.

Hamna lolotte zqaidi ya hilo, handsome ndiyo kishabea ubora, mwambieni huyo mnaemtaka ajitahidi msimu ujao.

Ma shaa Allah, Karim.
Me ni muislam lkn naomba nikuulize dini imeingiaje hapo? Je unafuatilia mpira?

Umeonesha upumnavu wa hali ya juu ulionao
 
Back
Top Bottom