Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

Suarez mwamba sana
 
Suarez hakuwa na nyota ya kupendwa huyu baba, ila aliyofanya ni makubwaa, ukitaka kujua uwezo wa Suarez tazama akiwa Liverpool.

Benzema ni mzuri, ila kumfananisha na Suarez,ni kumkosea heshima mwamba wa [emoji1257].

Kwanza pia alivyokua Barca, mbna alikiwashaa ile ile, na benz akiwepo ndani ya league anashuhudia.

Suarez apewe maua yake.
 
Sio Maua tu Suarez Apewe na mchumba wa kisudani
 
Ni mbishi ni msumbufu. Hapo umeeleweka vizuri. Nakukumusha Suarez na KB9 ni wazaliwa wa 1987 wote ni strikers wote bado wanacheza soka
 
Mnaona gere kwa kuwa ni Muislam tu.

Hamna lolotte zqaidi ya hilo, handsome ndiyo kishabea ubora, mwambieni huyo mnaemtaka ajitahidi msimu ujao.

Ma shaa Allah, Karim.
Me ni muislam lkn naomba nikuulize dini imeingiaje hapo? Je unafuatilia mpira?

Umeonesha upumnavu wa hali ya juu ulionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…