Muda ndiyo huu, tuwakamue mpaka waende Burundi

Muda ndiyo huu, tuwakamue mpaka waende Burundi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1629548841174.png
 
Hongera kwa kulipa kodi🤣
 
Chichiemu pamoja na madini, mbuga za wanyama, gesi, ardhi yenye rutuba, bahari, maziwa, misitu, kote huko wakaona hawawezi kubuni chochote hadi waweke tozo hizo halafu watakueleza wamebuni vyanzo vipya
 
Nimegundua sisi blacks kujiongoza hatuwezi maana hata south bila kaburu kujenga ile nchi nadhani tungekua sawa tu, naangalia botswana bila damu ya kizungu ya akina mahama nao wangekua kama sisi tu
 
Halafu nchi kama haijapita kwenye vita wala hata wananchi hawawezi kuhoji wakati kenya bei ya mkate ikipanda moto unawaka
 
Halafu suala la wananchi kuishukuru serikali sijui kujenga hospitali sijui barabara sio maana ukishazaliwa tu Tanzania unatakiwa ukute barabara na hospitali na sio ombi ni lazima serikali ijenge kila kitu maana inakusanya kodi hawatoi mifukoni mwao
 
Utasikia yakishavaa mashati ya kijani na vitambi vyao raisi katoa bilioni ngapi bila kukumbuka rais hatoi mifukoni mwake wanatakiwa kusema serikali imeidhinisha bilioni kadhaa kwaajili ya hiki maana wao wanakusanya na kuidhinisha matumizi zile ni pesa za wananchi
 
Nimegundua sisi blacks kujiongoza hatuwezi maana hata south bila kaburu kujenga ile nchi nadhani tungekua sawa tu, naangalia botswana bila damu ya kizungu ya akina mahama nao wangekua kama sisi tu
Hili ndiyo tatizo kubwa, baada ya uhuru watu walitoka Burundi kutafuta ajira Tanzania, ukuli bandarini, kuchuma chai na kahawa au kwenye mashamba ya mkonge. Sasa hivi tunaambiwa tukimbilie Burundi.
 
Hivi tozo na kudhulumu watu wachache kwa chuki zako tu bora nini?
 
Nasikia kuna tozo mpya itakayokwenda kwenye manunuzi ya chanjo za covid
 
Back
Top Bottom